Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

wick
a piece of string in the centre of a candle, or a similar part of a light, that supplies fuel to a flame.
Kwa kiswahili rahisi tunasema utambi unaopatikana katikati ya mshumaa au kibatari
Nilichagua jina hili kuashilia sichagui wapi pa kumulika kila jukwaa nitachangia na kila aina ya topic nitagusa bila jali dini,michezo,teknolojia,siasa n.k.
 
Reactions: BAK
Msalagambwe

Kwa kipare

Mgove kwa Kibena

kule kijijini wanakijiji wanakusanya nguvu zao kwa pamoja ku accomplish one task.

Hapa JF tunatumia vichwa
 
Dada pekee wa familia
wadogo zangu wakiume
wanapenda kuniita dadaake
[emoji4][emoji4]
 
Ndio=maana yake ni mpambanaji
 
Nadhani sina haja ya kuelezea maana ya varangati kama unataka kujua Fanya hivi .............. Kaibe mke wa m2 AF wakufume au mkeo akufumanie hasahasa wale wafupi hapo ndo utaona varangati lake
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…