Tupe vitabu unavyosoma tuongeze maarifa
1.Zero to One by Peter thiel with Blake masters-
kitabu kizuri sana itapendeza zaiidi kama ukiwa mtu wa kupenda sciences,kinakupa mwanga njisi ya kutengeza kitu kipya katika dunia yetu ya Leo ya teknolojia.
(Doing new things au copying things that work)
2.Learning to play with a lion's testicles by haines.
3.The God delusions by Richard Dawkins..hapa inahitaji utilize ubongo kisawa-sawa.
4.101 ways to make money in Africa By John Paul & harnet PhD.
Fursa zipo nyingi sana Africa ni jambo la watu kufungua bongo zao richa changamoto za uongozi wa watala barani africa lakini makubwa yanaweza kufanyika.
Kubwa zaidi hapa ni ideas za biashara na kilimo kutokana na mazingira uliyopo mhusika.
5.Dead aid by Dambisa moyo.
Mwamama huyu anazungumzia misaada tuyopewa barani Africa kutoka Imf/worl bank Je inamanufaa au Ndio inazidi kutuangamiza...??
6.You can win by shiv khera.
Kitabu kizuri sana kutazama na kufikiri kila jambo kwa mtazamo chanya(positive thinker)
Dunia Sasa ni kama kijiji internet imerahisha sana vitabu vingi unaweza kuvipata kiurahisi tofauti na miaka ya nyuma,kubwa zaiidi ni udadisi wako na kupenda kusoma na kujifunza zaidi na zaidi.
Shukran!!! Da'Vinci.