Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mumeo anajina kama langu eeehJina langu na la mume wangu
[emoji23] halafu unajua jina la kwanza la putin sijui kulitamka ,,hebu niandikie vile hutamkwa utasaidia wengiMumeo anajina kama langu eeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee usinambie km ulishafanya zoezi lakutamka nabado ukashindwa !!!.[emoji23] halafu unajua jina la kwanza la putin sijui kulitamka ,,hebu niandikie vile hutamkwa utasaidia wengi
Mtamu Wewe[emoji115] [emoji14] [emoji14] [emoji6]
Ileje ni jina la mlima mrefu maarufu unaoitambulisha Wilaya iliyoko Mkoani Songwe! Moja ya sifa ya wilaya hii ni kuwa ni wilaya pekee nchini Tanzania inayopakana na nchi mbili; Malawi na Zambia na kwa mipaka aina mbili tofauti yaani mto Songwe na safu ya milima.
Mkuu chukua kinywaji nakuja kulipaIleje ni jina la mlima mrefu maarufu unaoitambulisha Wilaya iliyoko Mkoani Songwe! Moja ya sifa ya wilaya hii ni kuwa ni wilaya pekee nchini Tanzania inayopakana na nchi mbili; Malawi na Zambia na kwa mipaka aina mbili totauti yaani mto Songwe na safu ya milima.
Mto Songwe unafanya sehemu moja ya mpaka baina ya Tanzania na Malawi na sehemu nyingine ya mpaka ni safu ya milima ambayo pia inafanya mpaka baina ya Tanzania na Zambia.
Ileje pamoja na udogo wake wa eneo ni makutano ya makabila matano; Walambya, Wanyiha, Wamalila, Wandali na Wanyakyusa. Hivyo Ileje ni wilaya iliyo na tamaduni tofauti.
Usijali nimekwisha jilipia! Asante!Mkuu chukua kinywaji nakuja kulipa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
(Zakayo) kiswahili (sakayo)kichaga, nime patia mwanamke mfupi mtoza ushuruMwanamke mfupi mtoza ushuru!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usijali nimekwisha jilipia! Asante!
Nipe maelezo yake nami nimfahàmu kiuñdaniWanabodi,
Samahani kama nitakuwa nimechelewa kutoa jibu ila hakuna haraka Afrika,
Maana ya ID yangu ni jina la Jemedari wa vita mmoja anayejulikana zaidi kwa jina la Joshua Mwana wa Nuni,
Kiufupi amenipa hamasa pindi nilipomsoma na kufahamu ushupavu wake thabiti katika uwanja wa vita na pia katika kumtumaini Muumba.