Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

A flagship is the most important ship in a fleet of ships, especially the one on which the commander of the fleet is sailing.
 
Ziltan nilijiunga Jf wakati wa Arabu Spring ilipokuwa imeingia Libya Kw mzee Moumary Gaddafi,
Binafsi nilikuwa nafatilia sana jinsi Vita ilikuwa inaendelea,
Nilitamani kusikia Gaddafi anapt ushindi BT...
ZILITAN NI MJI AMBAO MAJESHI YA GHADAFI yalionyesh utii na Ushupavu wa hali ya juu,
Kadri ya uwezo wao..., Hiyo user name ni Ukumbusho wa tukio hilo.
 
Back
Top Bottom