Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Naantombe = salamu ya asubuhi
Mushi = Jina langu

So ile asubuh kijijini watu wanasalimiana wakifika kwangu inabidi waniamkie 'Naantombe Mushi' .. Na mimi naitikia eeka mbe

Ila mfano nikapita kwenye kichumi cha ukoo wa Mamboro au Mboro zote hizi ni koo za kichaga.

So hapo ntawasalimia 'Naanto Mamboro' ' Naanto Mboro' .. Na wao wataitikia vizuri tu.

Wengi humu JF akili zao wanazijua wenyewe, huwa wanadhani jina langu ni matusi
 
Naaantombe Mushi nakumbuka sana kipindi cha Nyuma ulikuwa unatafuta Nchi Nzuri uende Sijui kama Ulishapata Mkuu....
 
Back
Top Bottom