Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mwifwa alikuwa busy makaburini leo kaamua kulifukua hili.
dingimtoto aliniuliza maana ya ID yangu, kwa kuwa nimeieleza humu nikaamua kuutafuta uzi ili nimuoneshe ajisomee mwenyewe. Ndio nikaona Sakayo pia kaeleza maana ya ID yake, hapo nikatia neno pia.

Pia BAK umenilimit kuona nyuzi zako kwa kutumia PC isipokuwa naweza kuziona kwa kutumia kimeo tu jambo ambalo ni gumu sana kufukua uzi kama sijui heading yake. Huu uzi ni wa 2009 sasa kutumia kimeo ni shida hadi uupate kama heading huijui.

Nikawa najaribu kusearch jina bahati nzuri nikaupata.

Mkuu kama hutojali nifungulie kutonilimit kuona nyuzi zako bana, nikitaka kuperuzi kwa PC nisipate taabu.
 
Ngoja niondoe limitation niliyoiweka Mkuu kwa heshima yako. Sipendi kuweka hii limitation lakini kuna watu si wazuri humu Mkuu.

dingimtoto aliniuliza maana ya ID yangu, kwa kuwa nimeieleza humu nikaamua kuutafuta uzi ili nimuoneshe ajisomee mwenyewe. Ndio nikaona Sakayo pia kaeleza maana ya ID yake, hapo nikatia neno pia.

Pia BAK umenilimit kuona nyuzi zako kwa kutumia PC isipokuwa naweza kuziona kwa kutumia kimeo tu jambo ambalo ni gumu sana kufukua uzi kama sijui heading yake. Huu uzi ni wa 2009 sasa kutumia kimeo ni shida hadi uupate kama heading huijui.

Nikawa najaribu kusearch jina bahati nzuri nikaupata.

Mkuu kama hutojali nifungulie kutonilimit kuona nyuzi zako bana, nikitaka kuperuzi kwa PC nisipate taabu.
 
Ngoja niondoe limitation niliyoiweka Mkuu kwa heshima yako. Sipendi kuweka hii limitations lakini kuna watu si wazuri humu Mkuu.
Kwa kuwa nimekuomba, kama inawezekana kunifungulia mimi tu fanya hivyo.

Hilo la watu humu kutowaamini nalisupport sana mkuu, kama kutonilimit mimi itapelekea kutolimit wote ni bora hiyo limitation iendelee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Shukrani Mkuu nimefungua Mkuu niambie kama sasa uko sawa.

Kwa kuwa nimekuomba, kama inawezekana kunifungulia mimi tu fanya hivyo.

Hilo la watu humu kutowaamini nalisupport sana mkuu, kama kutonilimit mimi itapelekea kutolimit wote ni bora hiyo limitation iendelee.
 
Ngoja nitafute maana ya jina la Sakayo

dingimtoto aliniuliza maana ya ID yangu, kwa kuwa nimeieleza humu nikaamua kuutafuta uzi ili nimuoneshe ajisomee mwenyewe. Ndio nikaona Sakayo pia kaeleza maana ya ID yake, hapo nikatia neno pia.

Pia BAK umenilimit kuona nyuzi zako kwa kutumia PC isipokuwa naweza kuziona kwa kutumia kimeo tu jambo ambalo ni gumu sana kufukua uzi kama sijui heading yake. Huu uzi ni wa 2009 sasa kutumia kimeo ni shida hadi uupate kama heading huijui.

Nikawa najaribu kusearch jina bahati nzuri nikaupata.

Mkuu kama hutojali nifungulie kutonilimit kuona nyuzi zako bana, nikitaka kuperuzi kwa PC nisipate taabu.
 
Okay ila kumbuka uliwahi kunambia kwamba weye ni muhenga humu AKA Legend. Ila kutokana na kuumizwa na watu wa hovyo hovyo ukaamua kuachana na ID yako ya kwanza. Nadhani sijakosea kwa maelezo haya.

Sasa yule alikuwa mwanaume mfupi mtoza ushuru, Mie ni mwanamke mfupi mtoza ushuru
 
Okay ila kumbuka uliwahi kunambia kwamba weye ni muhenga humu AKA Legend. Ila kutokana na kuumizwa na watu wa hovyo hovyo ukaamua kuachana na ID yako ya kwanza. Nadhani sijakosea kwa maelezo haya.
Ongea taratibu bhana
 
Back
Top Bottom