Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mimi id yangu ni kifupi cha majina yangu mawili ukiyaunganisha
 
Jina hili alinipa rafiki yangu mnyalu ila nimesahau maana yake,kama mnyalu yupo hapa au anaelijua nyadikwa alete tu maana
 
Jipu la kwapa tupe maana ya jina lako duuu ni shidaaaa
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa yaani sana tu Ruttashobolwa, hivi mtani double 't' inatoka wapi kwenye jina la asili? au ndio swaga?

Teh Teh... mtani kwani majina ya asili hayatumii herufi...? atoto wahaya swaga huwa hatuzijui kabisa...
karibu
 
Attachments

  • 1422108514129.jpg
    1422108514129.jpg
    33.5 KB · Views: 68
Last edited by a moderator:
Teh Teh... mtani kwani majina ya asili hayatumii herufi...? atoto wahaya swaga huwa hatuzijui kabisa...
karibu

mmmmh!! mtani hii kitu sijawahi jaribu, huwa najitengenezea ladha yake kichwani basi naishia kuziangalia tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom