Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Quinine Mwitu,ni jina linalowakumbusha waafrika waache kuamini tiba kutoka tu ughaibuni,nawakumbusha mrejee edeni japo sio tabibu ila ni mdau wa tiba asili
 
"Mkubhi" ni mboga za majani ya maharage ambazo nimekuwa nikichukia sana utotoni mwangu wonderful enough hivi sasa humu jukwani nimeamua kujiita mkubhi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi ya kwangu anophelesi, niliichagua kwa kuwa utafiti juu ya mdudu huyu hatari ndio ulinipa Masters!

Wewe je?.....
 
Kabla hujaandika mada jaribu kutafuta kama mada husika ilishajadiliwa au laa.

Ilishapita hii kitu asante kwa kutujulisha kuwa una masters.
 
Kuna jamaa pale job alikuwa na tabia za majungu wakamwita mwamfupe, nikalipenda
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mimi nilichagua ID 'coz tangu nijitambue nilijitahidi kuwajali WANAWAKE,,,,
Hiyo ilipelekea kuniita GENTLEMAN,
[HASHTAG]#jamesbond[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom