Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Kwa sasa sijajua kama utaratibu umebadilika au la...ila kwa kila bidhaa niliyonunua kodi ilikuwa 10% kama sikosei..kwa malipo ya kazi, kwa mfano ukilipwa $9 kwa lisaa, kodi inakuwa ilishakatwa huko huko...
Wait, sijaelewa hapo kwenye bidhaa kwamba ukinunua bidhaa napo unakatwa kodi kivipi?
 
Wait, sijaelewa hapo kwenye bidhaa kwamba ukinunua bidhaa napo unakatwa kodi kivipi?
Unapoenda kwa mfano supermarke kununua mahitaji, unakuta kila kitu kina bei...kwa mfano unaweza kuta T shirt imeandikwa $ 10.99....ukiichukua ukaenda kulipia utalipa kama $11.99....
Price tag inakuwa tax excluded, sometimes unaweza kukuta kuna promotion, basi Wataweka matangazo ya discount na tax free...na hakuna bargaining kama huku kwetu....most of the time, commodities have fixed price..[emoji41][emoji41]
 
Unapoenda kwa mfano supermarke kununua mahitaji, unakuta kila kitu kina bei...kwa mfano unaweza kuta T shirt imeandikwa $ 10.99....ukiichukua ukaenda kulipia utalipa kama $11.99....
Price tag b inakuwa tax excluded, though sometimes unaweza kukuta kuna promotion, basi Wataweka matangazo ya discount na tax free...na hakuna bargaining kama huku kwetu....most of the time, commodities have fixed price..[emoji41][emoji41]
Duh,kwa hiyo ile nipunguzie haipo!??[emoji23][emoji23]
Huko hakunaga magenge Kama huku kwetu!??
Halafu mkuu hujatuambia zile documents (work permit) upatikanaji wake
 
Mademu wananipenda sana hasa ikifika kuanzia tarehe 25 hadi 3 hivi kila mwezi,sijui kwa nini..!!
 
Unapoenda kwa mfano supermarke kununua mahitaji, unakuta kila kitu kina bei...kwa mfano unaweza kuta T shirt imeandikwa $ 10.99....ukiichukua ukaenda kulipia utalipa kama $11.99....
Price tag inakuwa tax excluded, sometimes unaweza kukuta kuna promotion, basi Wataweka matangazo ya discount na tax free...na hakuna bargaining kama huku kwetu....most of the time, commodities have fixed price..[emoji41][emoji41]
Duuh
 
Mademu wananipenda sana hasa ikifika kuanzia tarehe 25 hadi 3 hivi kila mwezi,sijui kwa nini..!!
Unajua hio tarehe zile note nyekundu zenye tembo huwa zinakuwa nyingi kwenye wallet..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh,kwa hiyo ile nipunguzie haipo!??[emoji23][emoji23]
Huko hakunaga magenge Kama huku kwetu!??
Halafu mkuu hujatuambia zile documents (work permit) upatikanaji wake
Hahaa.[emoji23][emoji23][emoji23].To be honest...katika majimbo yote manne niliyokaa kule...sijawahi kuona genge..sijui huyu anauza supu ya pweza, huyu mahindi choma na pilipili, huyu samaki wa leo leo..[emoji23][emoji23] n.k...

Wenzetu wamejiwekeza kwenye shopping malls ambazo utapata mahitaji karibu yote humo....pia super markets ambazo wao wanaita Store....so ukiingia humo unahudumiwa kila kitu..

Ila kwa mtu mwenye hela zake...maisha ya hapa Bongo matamu zaidi..Mtazamo wangu..
 
Niliposoma shule ya msingi na ndipo maji yaliyotumika kwenye vita vya majimaji yalipatikana/chukuliwa na kinjeketile Ngwale katika kitongoji cha Lihenga kilichopo kwenye kijiji cha ngarambi vipi pako powa kwa thread.
 
Ni wilaya gani na mkoa gani??
Niliposoma shule ya msingi na ndipo maji yaliyotumika kwenye vita vya majimaji yalipatikana/chukuliwa na kinjeketile Ngwale katika kitongoji cha Lihenga kilichopo kwenye kijiji cha ngarambi vipi pako powa kwa thread.
 
Kama umeangalia Lacasa de Papel... Kuna nyimbo anapenda kuuimba Berlin na Professor....

Bella ciao maana yake ni kwaheri mrembo, original ya huu wimbo ni wimbo wa mapinduzi katika nchi ya ITALIA
wewe mtoto wa juzi tuu..le paritizano.le montana bella cioax2..
Plant a beatiful on my grave in the mount..let me live..as beautiful flower..
As the resistance goes on and on and on x2

ila ule wimbo ni kama Tanzania nakupenda kwa moyo wote au ule wimbo wa Mapinduzi Zanzibar..
Niliipenda ile series kwa maudhui tu ( content) kama ulifatilia economic meltdown ya 2008 Spain,Portugal na Greece ziliumia sana na bansing thuggery and robbery afu mafala wakalipwa billions of bonuses while wananchi wanatioa huruma tuu.
Tafuta seire ya Al Jazeera documentary inaitwa Growing Pains utaelewa nachokwambia..
Mpaka naamini bobgo na Afrika ,Literary (Fasihi) na Performing Arts tunasoma tu kupata marks darasani ila kuziwakilisha na kuziishi hatujaweza bado..
Huwezi amini hiyo theme ya Bella Ciao ilifanyiwa rendition na wasanii kibao Europe na ili hit mpaka European billboards charts..from just a simple TV drama.
 
Back
Top Bottom