Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Ohoo ni vizuri ..

Ohoo yes wakati mwingine hutokea na inakuwa ngumu kujua labda kama unamjua mhusika basi inakuwa rahisi kidogo.

Uncle dereva hata nikibadilisha kalamu basi mwandiko hautoweza kubadilika😃😃

😊

Aunt abiria wewe endelea kuniandikia mwandiko wako mzuri, badilisha kwa wengineo 😉😉
 
Dumas the terrible

Duma - Bunge la Russia Ndio hutumia title hii nikaongeza 'S' Ili kuwakilisha
Mnyama Duma na makali yake mfano wa Bunge la Duma pale Moscow likiwa na makali kwenye maamuzi ya nchi Yao

Dumas lilichochewa na background ya ukoo wetu (Code)
Na pia ikimuwakilisha mwandishi nguli kutoka ufaransa ndugu Alexander Dumas mwandishi wa three Musketeers
Pia
Dumas ikisimama kama Duma mnyama mwenye speed ya
100 km per hour

The terrible hii ilikua inspired na
Ivan the terrible aliyekua mfalme wa Russia 1533 - 1584 sababu legacy yake ya kibabe pia kutokana na Mimi kujikubali na baadhi ya misimamo yangu na falsafa mingi kua against Society ilioyonizunguka hivyo hua naonekana kama Moja ya materrible flani Hivi

Anyway
Dumas the terrible I'd yangu na Avatar vinaongea ila nilikua natoa wasifu kidogo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91]
Mwanao wa kiume muite Ivan sasa
 
Back
Top Bottom