Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Fyddell sounds like my real name. Kuna member anatumia jina langu halisi, so nikaona wacha niongeze baadhi ya herufi kujitofautisha nae. That's all buddy
 
La kwangu lina maana ya kijiji ninachotoka kule vwawa-Mbozi ingawa kwa sasa nipo mikoa ya watu kikazi!
 
mimi nimechagua hili jina langu mpiga domo cos ni tofaut sana na nilivyo in real life, nimechagua hili jina ili iwe suprise if anyone here ever meet me in person, shocked wil be the expression since my character and the way i look in real life is complete the opposite of my name here in Jamiiforum
 
Kaka yangu alinunua radio aina ya Panasonic miaka ya1994 na mpaka sasa anaitumia na haijawahi kusumbua chochote. Rafiki yake akanunua aina ya Lasonic mpaka leo hii imebaki skrepa tu!! Nilinunua simu aina ya Samsung x-100, mpaka leo ninayo!! Rafiki yangu akanunua Mchina aina ya Bluetooth mpaka leo alishabadilisha simu zaidi ya nane!!!
Mpaka hapo wakuu mwenye kuelewa alishang'amua ni kwa nini najiita Fekifeki!!
Nilitaka kujiita OREGINAL, nikaona haitasound vizuri!! Ukiangalia hata Avatar niliyotumia inadhihirisha maelezo yangu.
 
Mi sipendi uchokozi dats y nkatumia opposite.... Ili watu wasinichokoze!!
 
habari zenu wana JF, nimekuwa nikivutiwa na baadhi ya majina ya hapa JF, kuna baadhi ni mepesi kusomeka na kuna baadhi ya majina ni shida hata kuyasoma. Wengi wetu majina tunayotumia ni feki. Je ni sababu gani ilikufanya kuchagua hilo jina unalotumia hapa JF? Mfano mimi, Mussolin, nimetumia jina hili kwa kuwa nilipenda sana falsafa za kidikteta za Benito Mussolini wa Italy, karibuni...
 
ngoja wapenda papuchi waje....!

mi napita na verse zangu, kuna kitoto nakiimbisha jukwaa fulani la PM! lols!
 
ngoja wapenda papuchi waje....!

mi napita na verse zangu, kuna kitoto nakiimbisha jukwaa fulani la PM! lols!

lol..ww mwenyewe kumbe kuna mtu unamuimbisha, mpenda papuchi pia..
 
Ilishawahi tokea miaka ya nyuma hapa jf. Lakini si vibaya watu walianguka tena ni nini kilimvutia mtu akatumia ID hiyo..
 
Napenda rangi yangu,napenda bara langu lililoshehen vitu vyeusi.napenda warembo weusi.
 
Back
Top Bottom