Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Katika jamii yetu ya Afrika asilimia 95 kila mtu alikuwa na jina lake la utani yaani lile jina ambalo siyo la kupewa na wazazi ila limezuka tu from no where,
Njoo tuambie sasa hapo jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani na kwa sababu ipi?
Binafsi nilikuwa naitwa sukari yao kwa sababu moja tu ya kuwatafuna hao viumbe waliyoumbwa kutoka kwenye mbavu zetu je wewe ulikuwa unaitwa nani?