Je, jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani?

Je, jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Katika jamii yetu ya Afrika asilimia 95 kila mtu alikuwa na jina lake la utani yaani lile jina ambalo siyo la kupewa na wazazi ila limezuka tu from no where,

Njoo tuambie sasa hapo jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani na kwa sababu ipi?

Binafsi nilikuwa naitwa sukari yao kwa sababu moja tu ya kuwatafuna hao viumbe waliyoumbwa kutoka kwenye mbavu zetu je wewe ulikuwa unaitwa nani?
 
Walikua wakiniita "Hisabati" kwasababu ya kujua sana hesabu,hata mambo yangu huwa nayafanya Mathematically.

Yani hata kabla sijala msosi ni lazima nifanye estimation & calculation ya matonge ambayo nitabugia kwa muda huo.
 
Aisee nimepewa majina mengi sn ya utani.
Nikiwa shule NILIITWA DUDU LA AKILI.Mpirani niliitwa mchawi wa chenga.
Kitaani..!!niliitwa ticha.kazi TBS ..NINAPO ISHI SASA NAITWA MTAARAMU.
 
Aisee nimepewa majina mengi sn ya utani.
Nikiwa shule NILIITWA DUDU LA AKILI.Mpirani niliitwa mchawi wa chenga.
Kitaani..!!niliitwa ticha.kazi TBS ..NINAPO ISHI SASA NAITWA MTAARAMU.
Mpaka leo hii naitwa stalin
 
Back
Top Bottom