Nimecheka sanachogo nchumari
ndomo tenga
maskio walu walu
ngoma braza yaani mi sura yangu haina formula vyote nnavyo kuanzia chogo maskio na ndomoNimecheka sana
Mkuu una chura????Chula aka Rubber4
Mkuu soma vizuri nimeandika Chula aka Rubber4 sasa kipi huelewiMkuu una chura????
Mpaka leo hii naitwa stalinAisee nimepewa majina mengi sn ya utani.
Nikiwa shule NILIITWA DUDU LA AKILI.Mpirani niliitwa mchawi wa chenga.
Kitaani..!!niliitwa ticha.kazi TBS ..NINAPO ISHI SASA NAITWA MTAARAMU.