Je, jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani?

Je, jina lako la utani ulikuwa unaitwa nani?

Binafsi nilikuwa naitwa sukari yao kwa sababu moja tu ya kuwatafuna hao viumbe waliyoumbwa kutoka kwenye mbavu zetu je wewe ulikuwa unaitwa nani?
Mmhh....aisee sio kwa msura huo kama umetoka pigwa KO na mwakinyo. Kwa jinsi ulivyo mbaya hata kutafunwa tu kwa sura ya nyani hufai kutafuna so ndo mtoto Wa watu anaweza Zia kabla hata ya shoo.

Kwa
405234.jpg
 
Back
Top Bottom