Je, Jua ni Mungu?

Jua linapata utukufu na heshima kubwa kuliko sayari na nyota zote maana ndio life provider wa all universe.

Its the biggest source of life.

No sun..No life in all planets and stars.
nilikua natafuta huu uzi nikukosea hapo kwa Yesu na mama yake.
Huo mstari sio jua Humble
 
Mungu ni muweza wa yote!

Kama jua ni mungu, je, LINAWEZA kuwaka usiku na kuzama asubuhi (yaani mchana lisiwepo/lisiwake)!?
 
kumbukumbu 17:2 Ikiwa mwanamume au mwanamke atapatikana miongoni mwenu, katika mojawapo ya majiji ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, aliye na mazoea ya kufanya uovu machoni pa Yehova Mungu wenu na kuvunja agano lake, 3 naye anapotoka na kuabudu miungu mingine na kuiinamia miungu hiyo au jua au mwezi au jeshi lote la mbinguni, jambo ambalo sijaamuru 4 ukiambiwa au kusikia habari hiyo, unapaswa kuchunguza jambo hilo kikamili. Ikithibitishwa ni kweli kwamba jambo hilo lenye kuchukiza limefanywa katika Israeli, 5 utamtoa nje ya malango ya jiji lenu mwanamume au mwanamke ambaye amefanya uovu huo, na lazima mwanamume au mwanamke huyo auawe kwa kupigwa mawe..............
 
Umeanza matisho ya waandishi mkuu!
 
Dah ,,, sasa hapa mbona kama sielewi
Kuna maandiko yanasema Mungu alisimamisha jua nyakati za Joshua
 
RUVA TATA ni chanzo cha maisha , ni Mungu wa kweli , unasemaje ??
 
Story tamu sana. Jua kwa kweli liko very ppwerful. The sky deity!
 
Bila jua hakuna ihai , basi uhai upo ndani ya jua , na mwenye kutoa uhai basi yumo ndani ya jua hivyo jua ni MUNGU . Hataungua kwani anautawala moto kama muumbaji .
 
Wanasema kupata kudra za mwenyezi Mungu za siku husika ni lazima upigwe na jua la asubuhi.

Mungu kajiweka mbali na uso wa dunia, na hakuna kiumbe chochote hai kinaweza kulisogelea Jua kwa namna yoyote ile, vifaa vyote vya NASA havijawahi hata kulisogelea jua kwa km walau 1m. Umbali halisi ni Km Million 150.

Hakuna kiumbe hai kinachoishi kule, kule ni utukufu tu wake yeye, Mwana na Malaika ambao wapo kwa mfumo wa MOTO.
 
Wanasayansi wa NASA wamegundua kifaa kitakacholisogelea Jua kwa ukaribu wa 4m miles away toka surface ya jua ili kujaibu kupata info nyingi zaidi.

 
NASA’s Parker Solar Probe - Aug 12, 2018

Kifaa hiki kitasafiri kwa muda wa miaka 7 kuelekea juani, safari ina vikwazo vingi mno..... Je mwanadamu atafanikiwa kulifikia Jua?? Je Mwenyezi Mungu atabariki safari hii kuukaribia uso wake??

 
Kwa uelewa wangu Jua sio Mungu, Jua ni moja ya nyota nyingi katika galaxy system yetu, Nyota(Jua) ndio zinakua na sayari zinazozizunguka lakini pia na zenyewe huzunguka ndani ya galaxy.

Wanasema kuna majua au nyota billion 200 au zaidi ndani ya galaxy yetu tu ambayo inaitwa Milky way galaxy.

Na hapo hapo kuna galaxies karibu bilion 200 au zaidi ambazo zinatengeneza kitu kinaitwa clusters baada ya clusters kuna kitu kinaitwa super clusters. Kwa mfano huo mdogo maana yake ni kua tuna majua meengi sana kama mchanga wa bahari.

Kwa akili za binadam (NASA) mpaka sasa bado hata hatujajua nyota zilizo ndani ya systems yetu ya Milkway galaxy ziko ngapi.

Maana yake kuna uwezekano mkubwa sana maisha yapo tele humo kwingine ila sisi bado wachanga sana kuweza kuyatambua.

Yupo Mmoja aliye wezesha haya yote yawepo na yawezekane ukiachilia mbali jua moja tu la kwetu.
 
Umeandika sana lakini kuna vitu vingi umechapia jua ni nyota lakini sio nyota kubwa zaidi kama wewe ulivyosema, kuna nyota kubwa sana zaidi ya jua..
Mengine nitaeleza zaidi ambayo hapa naona yamepotoshwa.
 
Jua ni moja ya nyota ndogo , sio kweli kwamba maisha ulimwenguni yanategemea jua , jua ni center ya sayari zetu hizi kwenye galaxy ambayo tunapatikana , jua ni dogo sana ukilinganisha na baadhi ya nyota kubwa sana post hii imejaa upotoshwaji.
 
Nafikiria kuwa astronomy haya mambo ni ya ajabu na yanatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…