Je, Jua ni Mungu?

Je, Jua ni Mungu?

Wewe unasimama wapi kuhusu hii unayoiita fiction ya Mungu?

Unaamini katika uwepo wake?
mkuu naamini uwepo w mungu ..lakini Nina mashaka na mapokeo ya hiz dini ambazo ndio zilizotumika kutufikishia hzi habari za mungu ...nimetumia neno hilo la fiction iliiweze kuwa rahisi kueleweka juu yakile nilichotaka kuwakilisha ...
 
Kama unaamini uwepo wa Mungu basi unaqualify kuwa binadamu anaetumia vizuri ubongo wake kufikiri maana ni consciousness na unconsciousness ndio zinatufanya binadamu kuwa exceptional and special.

Mbuzi hata akisema hakuna mungu ni sawa maana hana upendeleo kama wetu sisi binadamu katika kufikiri.

Dini za kimapokeo zina challenge nyingi sana na wengine wenye Nia mbaya wametumia kuwa kuwakandamiza wengine. Na wengine wametafsiri vibaya na kuwaumiza wengine.

That's why nawakubali sana wanaoabudu jua maana malengo yao ni positive.
 
afadhali ya mama hata kama hutomkuta lakini utawaona wenzako ambao wenye mama zao ama kuziona pictr za huyo mama yako ..so hakutokiwa na nguvu kubwa inayopaswa kutumika kukujengea imani kuwa wewe ulizaliwa na mwanamke ambaye unapaswa kumuita mama ...ila kuhusu habari za Mungu mpka leo kwa wengine zimebaki kuwa fiction tu achilia mbali nguvu kubwa iliyotumika yakuwapeleka makanisani na misikiti ili wapate kujifnza habari zakumuhusu Mungu huyo
Nafikiri hoja yangu imeeleweka kuwa mtoto kutomjua mama yake haina maana ya kwamba anajua hakuna mama,hii ndiyo point ya msingi.

Halafu kwanza kabisa unapaswa kuelewa kuwa suala la uwepo wa mungu linahitaji imani,sasa kama wewe umeshindwa kuona dalili za kukufanya uamini uwepo wa mungu hilo ni suala lengine kabisa.
 
Kama unaamini uwepo wa Mungu basi unaqualify kuwa binadamu anaetumia vizuri ubongo wake kufikiri maana ni consciousness na unconsciousness ndio zinatufanya binadamu kuwa exceptional and special.

Mbuzi hata akisema hakuna mungu ni sawa maana hana upendeleo kama wetu sisi binadamu katika kufikiri.

Dini za kimapokeo zina challenge nyingi sana na wengine wenye Nia mbaya wametumia kuwa kuwakandamiza wengine. Na wengine wametafsiri vibaya na kuwaumiza wengine.

That's why nawakubali sana wanaoabudu jua maana malengo yao ni positive.
hahahaaaaa haya mkuu ...nimekuelewa mnooo
 
Nafikiri hoja yangu imeeleweka kuwa mtoto kutomjua mama yake haina maana ya kwamba anajua hakuna mama,hii ndiyo point ya msingi.

Halafu kwanza kabisa unapaswa kuelewa kuwa suala la uwepo wa mungu linahitaji imani,sasa kama wewe umeshindwa kuona dalili za kukufanya uamini uwepo wa mungu hilo ni suala lengine kabisa.
sawa nimekuelewa ..
 
Jua sio Mungu. Sifa kuu ya Mungu ni Uumbaji.
Tukisema jua ni Mungu tutaulizana jua lilimuumba nani??
Nguvu ya jua ni kubwa sana kwenye Maisha ya mwanadamu lakini hili halilipi sifa ya Kuwa mungu.
Huenda tuseme kuna nguvu kubwa tusioifahamu iliopo ndani ya jua, hivyo nadhani ingekuwa busara kujadili hicho kilichopo kwenye jua badala ya kulipa nafasi isiyo yake.
Maoni tu lakini
 
Mababu wetu wa zamani walikariri "Ruva Tata " yaani Mungu baba kwa kichaga. Ulipokuja utamaduni wa kizungu (Ukristu) tukasahau kuzingatia "Ruva Tata " Inawezekana jua ni Mungu. Zamani ukiomba kwa imani yako ya asili mafanikio unayaona tofauti na mtu aliyekariri Bible. Tatizo tukirudi kwenye imani zetu walioanzisha madhehebu watakula wapi? Sehemu ya kumi kama kazi!!
 
All Writtings kuhusiana na

- Ukubwa wa jua
-Components za jua
-umbali wa jua kwa kila sayari, (mfano kusema kuna 150kms mpaka duniani)

Zote hizo hazina Ukweli na Uhakika.

Kwasababu sisi hapa duniani tunaungua sana na jua mpaka watu wengine wanatokwa na damu puani na mazao yanakauka ilihali Jua lipo mbali sana na tena kuna Ozone layer hapo juu.

SWALI: Wanaosema jua lina Helium, Hydrogen etc na kwa asilimia zake walipimaje?

Ni akina nani waliopima size ya jua na kujua kuwa dunia inaingia mara 3,000,000 ?
Unakumbuka tukio la kupatwa kwa Jua?
je wanascience walitumia mbinu gani mpaka kujua saa ngapi litatokea na maeneo gani?
 
ivi unajua kuna bilion za jua nazo zina solar system zake na sayari zake pia jua letu na sayari zake ni kikundi ki1 tu..
tafuta mambo ya miliky way pamoja sayari zote na jua letu ni kikundi ki1 tu kuna vikundi vingine pamoja na jua zao pia
 
Hebu tupe fact in issue sasa mkuu. Hata picha kusupport your notion.
 
Who is God!? God among Us. Nazani messiah alisha fafanua kuwa Mungu ni Roho na Wamuabudio harisi watamuabudu katika roho na kweli.
Mwili wako Ndiyo hekalu la Mungu. So don't get twisted. The true religion is LOVE.
 
I don't go to church, they say the body is the temple I'm walking with the church now.

God is energy and energy can never be created nor destroyed..for that case God is sun since sun is the cosmos energy of spiritual being.
 
Sun can goes down but God will not. Joshua aliwahi kulisimamisha jua, mwanadamu hana uwezo huo. Musa alimuuliza Mungu wakiniuliza niwaambie ww ni nani. Jibu la Mungu lilikuwa hili "mimi nipo ambaye niko" jua wanyama na other universal bodies ni utukufu wake. Ila Mungu yu ndani yetu.
 
I don't Go to church either[emoji2][emoji2]
 
Sun can goes down but God will not. Joshua aliwahi kulisimamisha jua, mwanadamu hana uwezo huo. Musa alimuuliza Mungu wakiniuliza niwaambie ww ni nani. Jibu la Mungu lilikuwa hili "mimi nipo ambaye niko" jua wanyama na other universal bodies ni utukufu wake. Ila Mungu yu ndani yetu.
How sun goes down? Jua lilipo limesimama alitembei sasa Joshua alisimamishaje kitu kisichomoves mkuu?

Sun is immobile.
 
Back
Top Bottom