All Writtings kuhusiana na
- Ukubwa wa jua
-Components za jua
-umbali wa jua kwa kila sayari, (mfano kusema kuna 150kms mpaka duniani)
Zote hizo hazina Ukweli na Uhakika.
Kwasababu sisi hapa duniani tunaungua sana na jua mpaka watu wengine wanatokwa na damu puani na mazao yanakauka ilihali Jua lipo mbali sana na tena kuna Ozone layer hapo juu.
SWALI: Wanaosema jua lina Helium, Hydrogen etc na kwa asilimia zake walipimaje?
Ni akina nani waliopima size ya jua na kujua kuwa dunia inaingia mara 3,000,000 ?