Je, Jua ni Mungu?

Je, Jua ni Mungu?

Mkuu naomba nikutanishe na shetani,
Naona una detail zake kabisa.
If there is lights.. Then there is darkness.
If there is bad....then there is good.
If there is Satan...then there is God.

Ni hatari kuamini shetani hayupo ila ni hatari zaidi kuamini Mungu hayupo.

Everything in this world has source...we are as the human we have source from the divine creator.. God. All society in this world agree on this naked truth.

Let's give God thanks and praises.
 
Sijasema shetani hayupo.
Ila nimesema jamaa anikutanishe nae manake alivyoandika ni as if huwa kuna sehemu wanakutana wanabadilishana mawazo.

Mie nataka nimuombe abadili namna ya maisha ili walau tukiishi kama mashetani iwe in a good way.
 
[emoji1] [emoji1] usinchekeshe bhana. Ila unaonekana umewaza mbali sana.

Aje hapa akujibu hili.
 
Nimeona umeandika "mungu bwege kabisa hili"
Alafu kwanini unanishutumu nimekasirika haliyakuwa sjaweka emoji yoyote hapo.

Ametukanwa Mungu ambae infact hamna mtu mwenye proof kua yupo..

Hujatukanwa wewe au mwanadamu yeyote yule...

Ni kama nimetukana fictional figure kama wale wa Alfu Lela Ulela!

Sijatukana mwanadamu,sijatukana mnyama,sijatukana mmea....

Kama natukana kitu kisichokuwepo halafu wewe unakua offended ni maajabu kabisa.
 
Proof zipo nyingi tuu.
 
Jua ni miongoni mwa nyota kubwa kuliko zote kwenye solar system ndio chanzo cha energy na maisha ya hapa Duniani na ulimwengu mzima na ikitokea jua limezima basi maisha ya ulimwengu mzima yanakoma. Mimea na miili ya binadamu inategemea mwanga jua kuendelea kuishi na sio mwanga wa Tanesco..kwanini ni mwanga wa jua peke yake..Mwanga wa jua una siri gani kubwa ya uhai na kuuisha inayoitofautisha na mianga mingine? Na lina mahusiano gani na utukufu wa kimungu? Na kwanini jamii nyingi Duniani zilifikia hatua ya kuliabudu kama Mungu? Na kwanini walipata majibu yao na kuishi kwa amani kuliko sisi? Kuna maswali mengi sana yanaibuka hapa.

Ila jua ni nyota kubwa kuliko zote inaaminika Dunia ili ilingane na jua inabidi ziwe dunia milioni 3,000,000/= dunia ni moto mkali sana unaowaka kwa miaka zaidi ya billion 5 bila kukoma I kutengeneza yenyewe hii energy kwa mfumo wa nuclear fission kwa kuzigonganisha hydrogen into helium na kutengeneza megawatts za energy 386 billion billion of megawatts kwa siku kiasi hili cha nguvu dunia toka kuumbwa hadi Leo haijawahi kutengeneza ilhali jua linatengeneza kwa siku na kinasafiri kwa sekunde kutoka miles ya jua lilipo hadi Duniani. Energy hii inaitwa cosmos sometimes ambayo ni sawa na energy rays ya rohoni ya binadamu inayofahamika kama "Aura" ndio maana binadamu akitizama na kuruhusu mionzi ya jua ya asubuhi impige kila siku kwa masaa matatu kwa miezi nane anakuwa spiritual awaken and powerful maana minzi hii ya jua ina ushabihianisho na mionzi ya energy ya roho ya binadamu. Swali je mionzi ya jua ndio supreme energy( Mungu)?
0f1c30b6744f8502a8256fa05f263eb5.jpg

Jua likioneshwa likiwa katikati ya sayari na nyota zote likizivuta kwa uga wake mkali wa sumaku zije katika USO wake na vyote hivi havina support yeyote ilivishikilia vinaelea angani kwa utukufu mkubwa na jua kutaka kuthibitisha Uboss wake sayari na nyota zote zinazunguka isipokuwa jua pekee ndio lipo limekaa pale pale kibosi.

Dini zote za zamani zinakubaliana kwamba jua ni Mungu na wakaita "Sun God " na ndio ikazaliwa "Sun day" siku ya jua ambapo watu hawakuruhusiwa kufanya kazi bali waende wakalisujudie na kulitukuza jua kwa matendo makuu linalowafanyia hii hata Ancient Roman waliamini sun is God ndio maana hata Jesus baada ya kuzaliwa na kufanya makubwa wakamwita "Son God' ambapo baadae aliitwa the Son of God"

f1e0dcd8b9f7f05a0bce72c88c06910c.jpg

Picha ya zamani Roman bikira mariamu akiwa kambeba mwanae na kukumbatia jua kwa wakati mmoja.

98a6d723baa72cda3d98a2dc3013614d.jpg

Kiti kilichoko Vatican cha Papa anachokalia kikiwa na mchoro wa jua kwa nyuma yake.

d15e8ee62a4f9215a174da918fff9dcf.jpg

Jesus kabebwa akiwa kazungukwa na jua kichwani pake.

75a1b66f6bfa2bad9aff9d18712d1928.jpg
Jua likiwa linaonekana altareni.

Hata Egypt ya kale waliamini katika jua kuwa Mungu na walimwita "Ra" waliamini jua ndio Mungu mkuu kuliko wote aliewaumba hata wale miungu walikuwa wanaabudiwa pale Egypt wote wanapaswa kumuabudu Sun God anaitwa "Ra".

67b831f25be6c233a084c208bb1f41db.jpg

Michoro ya kwenye madhabu ya Egypt ikionesha watu wa zamani wakiabudu jua.

81ca432ead37eaaabd6780c007a9c371.jpg

Mchoro wa mfalme wa Egypt ambaeni Deity akiwa kalibeba jua kichwani pale kuonyesha utukufu wa Mungu.

Japan waliamini Sun God anaitwa "Amaterusi"waliamini ndio Mungu alieumba viumbe vyote kwa na mwenye nguvu zisizomithilika.

Libya kwenye makabauri ya wale mummies wote wafalme zamani wa kiume na wa kike baada ya kufukuliwa walikutwa na Sun tattoos zinazotoa alama ya Sun worship.

c0873af6d93324fce46b6d5105036c06.jpg

Kuna mengi sana ya kuzungumza na kushare kuhusiana na jua na utukufu wake wa kimungu na kuaminiwa na kuabudiwa jamii nyingi za zamani Duniani kama Mungu na maisha yao yalikuwa mazuri na yenye siha njema.

Na dini zote hizi za kisasa pia zimetoka kwenye sun worshipers which makes more sense kwangu kuamini this energy ya jua ndio energy kubwa kuliko zote Duniani hivyo since God ndio mwenye energy kubwa kuliko zote kwanini Jua lisiwe na uungu ndani yake!? Nahisi napaswa kuacha dini za kimapokeo na kuamini kwa Sun God kama huyu bwana hapa

076c539e3e3ad7b4e5303db53c47d912.jpg
Maana it makes more sense sisi binadamu kihualisia ni nguvu yaani energy ya rohoni kwanini nguvu kuu inayofanana na sisi isiwe baba yetu? Sun is God
db97541a77bf38b7cb55738708e6ffb8.jpg
.

Rejea nyimbo ya alpha blondy Masada utaona hata yeye anapoint ya msingi juu ya uungu wa jua. Rejea nyimbo ya Bob Marley talking blues.
God created the universe... there are millions of galaxies in the universe, an there millions of stars in 1 galaxy with the sun being one of the stars...thats a lot of gods as far as words ar concerned.
Gos is the spirit and

God created the universe... there are millions of galaxies in the universe, an there millions of stars in 1 galaxy with the sun being one of the stars...thats a lot of gods as far as words ar concerned. Utukufu wa Mungu is far beyond hicho unachokiongelea ww..

Gos is the spirit and his worshipers must worship in spirit and truth..
 
Kuna mistari zaidi ya ishirini kweny biblia ambapo mwenyezi mungu amejitokeza kwa njia ya moto, so sometime tunatakiwa kuresearch
Moto kama energy una siri kubwa sana. Tumepewa akili let's research more about God in relation to energy maana hata jua ni moto mkali sana ambao haumithiliki ila ajabu unatoa zile flare zenye cosmos energy zinazofanana kabisa na aura energy za human being.

We are energy in spirit.
 
Yaani atheist ni watu kama agents wa shetani hivi maana wanatumiaga nguvu sana kukanusha uwepo wa Mungu.

Maana evidence za Mungu hazihitaji hata uwe na PhD uzijue..they are all over.

Mkuu,natural occurance zote zina reason,tena scientific reason..hakuna some supernatual power,ni vituko vya karne tu!
 
Back
Top Bottom