Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

Je, Kabila gani lenye Wanawake warembo zaidi Tanzania?

Wairaq wanapatikana wapi nikafanye utalii wa ndani ?
 
Nasubiri comments ziwe nyingi sana hlf niingize utafit wangu hpo.
 
msijifanye hamjui uzuri wa mwanamke bana!! mwanamke shake kasura tabia utamnyoosha huko baadaye lkn reception kwanza nyie babu vepi mayala wewe
 
Nimepita milimani Mbulu na Babati Manyara,Wambulu na Wairaq ni wazuri sana,yani hapa tunazungumzia uzuri wa asili,no make ups no what,na ukimwangalia mwanamke unasema yes kuna wanawake wazuri Tanzania,sijui tu tabia zao...
Na kaseja je yumo?
 
Back
Top Bottom