Official Mussa
Member
- Oct 27, 2018
- 22
- 9
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali 🙏