Official Mussa
Member
- Oct 27, 2018
- 22
- 9
Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali [emoji120]
Tena akianza mbembeleza 😂😂 kila rangi ataonaPiga chini huyo unamuendekeza hajielewi
Ni KWELI,Kama msamaha umesha MBA,lkn hataki.wewe tulia tuInategemea na mtu ulie nae. Kuomba msamaha hakutoshi kama hutoonyesha kubadilika.
Mwanaume unaomba msamaha mara moja tu, mara nyingi kutashusha dhamani yako
Lakin pia kama mwenzako hataki ya ishe mpe space, usijiependekeze sana kwake punguza attention. Kama anataka kuendelea atabadilika lakin kama hataki sepa kabisa
Mtu asietaka suluhu wanini? Anataka uombe msamaha mara ngap ili akuelewe? Huko ni kujiona keki wakati ni maandazi mmoja.Tenabakianza mbembeleza 😂😂 kila rangi ataona
Kama hatokuelewa hapa bas achana naeInategemea na mtu ulie nae. Kuomba msamaha hakutoshi kama hutoonyesha kubadilika.
Mwanaume unaomba msamaha mara moja tu, mara nyingi kutashusha dhamani yako
Lakin pia kama mwenzako hataki ya ishe mpe space, usijiependekeze sana kwake punguza attention. Kama anataka kuendelea atabadilika lakin kama hataki sepa kabisa
Mpe space huyo inawezekana ndionwale perfectionists huwa hawatak kukosewa.
Angalia mambo zingine.akijiskia kurud mwenyewe atarud ila kama akikuta na wewe ushasonga mbele kama injil ndio inakua imeishia hapo
Kama hatokuelewa hapa bas achana nae
Yah... ukimbembeleza sana pia inakuha sio sawa.Mara moja na ya pil basi zinatosha sana.Thats how mwanaume anatakiwa awe. Hiyo inamfanya mwanamke aone una life nanmambo mengine above her.
Yeye aamue kuwa part of it or not
Wewe kama wewe...sema nyie ma madam wa kinyaki mnajiamini sana af viburi kama vyoteee... msamehe mshkajiNdo bas tena!
mmmh! je kama ndio bebi baba wake mzee ??? sizani kama ni rahis kama unavyodhanPiga chini huyo unamuendekeza hajielewi
Bro ushaachwa kwanini usijiongeze ukatambaa?Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo
Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi?
Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ?
Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka yaishe tusonge mbele naona amekua mzito japo ajanitamkia kuachana ila kumtumia sms hajibu nahata akipokea simu ukitaka suluhu atufiki lengo wanazengo
Kwa mwenye mda ushauri Tafadhali 🙏
Hakuna jambo rahisi kwenye changamoto inayohitaji maamuzi magumu. Kama mtu habadiliki wanini na umeshampa muda?mmmh! je kama ndio bebi baba wake mzee ??? sizani kama ni rahis kama unavyodhan