Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sawa, turudi kwenye mada, takwimu ziko wapi? Wangapi wamepona kwa kujifusha au kujifukiza?Sijakuelewa maana anasema "wanahoji" lakini hasemi wanachohoji.
Tuna ikulu mbili tu.Ikulu ya wapi aliyoikimbia?
Tanzania kuna Ikulu ngapi?
Wataalam wa sheria walituachia swali hapa JF jee wewe huku liona?Ikulu ya wapi aliyoikimbia?
Tanzania kuna Ikulu ngapi?
Nd sijui pa kuzipata, naziomba! Being Dada or Kaka kwangu sawa tu, nataka takwimu! Wala sina hata haraka, niite dada, kaka, babu, bibi, ita vyovyote vile but ziko wapi takwimu?Takwimu mbona zipo automatic saa zote? 24/7 au hujuwi pakuzipata dada? Unataka za Kitaifa au za Kimataifa nikusaidie.
Kujifusha na kujifukiza hakufanywa mahospitali. Hivi Ulifikiri Hayo yanfanyika hosptalini?Sawa, turudi kwenye mada, takwimu ziko wapi? Wangapi wamepona kwa kujifusha au kujifukiza?
Hahahaha Hahahaha aibu sana sana, usiwe unatetea hata ujinga! Mwezi wa toba huu.Takwimu mbona zipo automatic saa zote? 24/7 au hujuwi pakuzipata dada? Unataka za Kitaifa au za Kimataifa nikusaidie.
Sawa lakini swali liko wazi sana, acha kujichosha na maelezo mengine, takwimu za hao wagonjwa ziko wapi? Mbona hamtangazi? Vifo vingapi? Wagonjwa wangapi?Kujifusha na kujifukiza hakufanywa mahospitali. Hivi Ulifikiri Hayo yanfanyika hosptalini?
Hizo ni tiba mbadala za Kitanzania majumbani.
Hospitali hakuna tiba ya Corona duniani,mpaka Leo hii au haujuwi Hilo?
ukweli ni kwamba tunajiharibia wenyewe huko siku za mbeleni...kwa mikakati ya hovyo tuliyonayo ya kupambana na corona wenzetu watafanikiwa kuimaliza sie bado tutakuwa tunachechemea, matokeo yake tutatengwa duniani utalii tunaoutegemea kutuingizia fedha za kigeni utakufa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu saidia huyu mgonjwa!!Kujifusha na kujifukiza hakufanywa mahospitali. Hivi Ulifikiri Hayo yanfanyika hosptalini?
Hizo ni tiba mbadala za Kitanzania majumbani.
Hospitali hakuna tiba ya Corona duniani,mpaka Leo hii au haujuwi Hilo?
Huyu Faiza, kwa sasa ni wa kumpuuza. Majibu yake hayaashirii uzima wa akili.
Jiite Msuku kma wa mjini!Nifanyeje ili nipate uraia wa Chato?
Wagonjwa wepi na vifo vipi unavyotaka zaidi ya vinavyotolewa na wizara ya afya? Umeshapitia website yao? mbona inaji update mara kwa mara? Au mpaka utangaziwe na Rais?Sawa lakini swali liko wazi sana, acha kujichosha na maelezo mengine, takwimu za hao wagonjwa ziko wapi? Mbona hamtangazi? Vifo vingapi? Wagonjwa wangapi?
Nilikua nakiheshimu sana hicho kibibi, kumbehovyo kabisa. Kina lazimisha kuleta mambo ya siasa kwenye habar za uhai wawatuHuyu bibi huenda katumwa kuharibu mada humu JF, mpuuzeni
Mimi nlikua sija zaliwa, naomba unijulishe. Hivi wakati wa vita vya kagera nyerere alikuwa/alikimbilia butiama au ikulu dsm? Je hakuwahi kwenda uwanja wa mapigano kuona hali ikoje?Basi kuna sababu muhimu sana yankuzikimbiq.
Bahati nzuri tuna Ikulu nyingi sana Tanzania ambako Rais anaweza kufanya kazi zake kiufanisi zaidi ya Dar na Dodoma kwa wakati huu.
Dar Sana anakuwepo kidiplomasi Kwa sasa. Dodoma anakuwepo kisiasa.
Sasa hivi hakuna mpango mikutano na watu diplomasia wala kisiasa.
Mwacheni Rais achape kazi zake anavyoona yeye siyo nyinyi.
Nyie nani mumpangie kazi zake?
Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kutengwa na hata kushtakiwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa kuhusu mlipuko hatari kama huu wa COVID-19.
Je katika hali kama hii Tanzania
itapona?
Huyu Faiza, kwa sasa ni wa kumpuuza. Majibu yake hayaashirii uzima wa akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupaniki, tulia andika vizuri! Watangaze takwimu tena kwa usahihi! Angalia last update ni lini! Ndio tunataka zitangazwe hadharani sio website! Umeweka bila hata kusoma ulichoweka. Hapa sio vitendo Saccoss pleaseWagonjwa wepi na Vigo vipi unachotaka zaidi ya vinavyotolewa na wizwrabya afya? Imedhapita website Yao, mbona inaji update mara kwa mara? Au mpaka utwngaziwe na Rais?
Pitia hapa Tanzania Ministry of Health,Community Development, Gender, Elderly & Children