Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

Ikulu ya wapi aliyoikimbia?

Tanzania kuna Ikulu ngapi?
Wataalam wa sheria walituachia swali hapa JF jee wewe huku liona?
Chato ni Makazi Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya muungano au ni Makazi Rasmi ya John Magufuli?
Screenshot_20200429-070936.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takwimu mbona zipo automatic saa zote? 24/7 au hujuwi pakuzipata dada? Unataka za Kitaifa au za Kimataifa nikusaidie.
Nd sijui pa kuzipata, naziomba! Being Dada or Kaka kwangu sawa tu, nataka takwimu! Wala sina hata haraka, niite dada, kaka, babu, bibi, ita vyovyote vile but ziko wapi takwimu?
 
Sawa, turudi kwenye mada, takwimu ziko wapi? Wangapi wamepona kwa kujifusha au kujifukiza?
Kujifusha na kujifukiza hakufanywa mahospitali. Hivi Ulifikiri Hayo yanfanyika hosptalini?

Hizo ni tiba mbadala za Kitanzania majumbani.

Hospitali hakuna tiba ya Corona duniani,mpaka Leo hii au haujuwi Hilo?
 
Takwimu mbona zipo automatic saa zote? 24/7 au hujuwi pakuzipata dada? Unataka za Kitaifa au za Kimataifa nikusaidie.
Hahahaha Hahahaha aibu sana sana, usiwe unatetea hata ujinga! Mwezi wa toba huu.
 
Kujifusha na kujifukiza hakufanywa mahospitali. Hivi Ulifikiri Hayo yanfanyika hosptalini?

Hizo ni tiba mbadala za Kitanzania majumbani.

Hospitali hakuna tiba ya Corona duniani,mpaka Leo hii au haujuwi Hilo?
Sawa lakini swali liko wazi sana, acha kujichosha na maelezo mengine, takwimu za hao wagonjwa ziko wapi? Mbona hamtangazi? Vifo vingapi? Wagonjwa wangapi?
 
ukweli ni kwamba tunajiharibia wenyewe huko siku za mbeleni...kwa mikakati ya hovyo tuliyonayo ya kupambana na corona wenzetu watafanikiwa kuimaliza sie bado tutakuwa tunachechemea, matokeo yake tutatengwa duniani utalii tunaoutegemea kutuingizia fedha za kigeni utakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujifusha na kujifukiza hakufanywa mahospitali. Hivi Ulifikiri Hayo yanfanyika hosptalini?

Hizo ni tiba mbadala za Kitanzania majumbani.

Hospitali hakuna tiba ya Corona duniani,mpaka Leo hii au haujuwi Hilo?
Mungu saidia huyu mgonjwa!!
 
Basi kuna sababu muhimu sana yankuzikimbiq.

Bahati nzuri tuna Ikulu nyingi sana Tanzania ambako Rais anaweza kufanya kazi zake kiufanisi zaidi ya Dar na Dodoma kwa wakati huu.

Dar Sana anakuwepo kidiplomasi Kwa sasa. Dodoma anakuwepo kisiasa.

Sasa hivi hakuna mpango mikutano na watu diplomasia wala kisiasa.

Mwacheni Rais achape kazi zake anavyoona yeye siyo nyinyi.

Nyie nani mumpangie kazi zake?
Mimi nlikua sija zaliwa, naomba unijulishe. Hivi wakati wa vita vya kagera nyerere alikuwa/alikimbilia butiama au ikulu dsm? Je hakuwahi kwenda uwanja wa mapigano kuona hali ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa hatua kali ikiwa ni pamoja na kutengwa na hata kushtakiwa kwa kukiuka makubaliano ya kimataifa kuhusu mlipuko hatari kama huu wa COVID-19.

Je katika hali kama hii Tanzania
itapona?




Ummy Mwalimu Waziri wa Afya wa Tanzania bara nadhani atasoma au atasomewa hili bandiko, pia lazima akumbuke kuwa Rais anayo kinga ya kutoshitakiwa.


Uhai wa Watanzania upo mikononi mwake katika kipindi hiki cha Corona.
 
Wagonjwa wepi na Vigo vipi unachotaka zaidi ya vinavyotolewa na wizwrabya afya? Imedhapita website Yao, mbona inaji update mara kwa mara? Au mpaka utwngaziwe na Rais?

Pitia hapa Tanzania Ministry of Health,Community Development, Gender, Elderly & Children
Acha kupaniki, tulia andika vizuri! Watangaze takwimu tena kwa usahihi! Angalia last update ni lini! Ndio tunataka zitangazwe hadharani sio website! Umeweka bila hata kusoma ulichoweka. Hapa sio vitendo Saccoss please
 
Hivi kuna mtu mwingine ambaye hasomi post za faiza fox kwenye hii thread kama mimi?

Back to topic:
Siku za nyuma tulificha data za Ebola, Marekani wakatufutia ila bahati nasibu yao ya kijani.

Na usisahau Dr Mwele alifukuzwa kwa sababu ya kusema ukweli.

Tatizo lipo kwa jiwe.

Nilishawahi kusema kuwa Kama Tanzania imeweza ku raise na ku produce mtu mkaidi kama jiwe, its very likely kwamba tunaweza kuzalusha mtu katili kama Hitler.

Refer Gavana wetu aliyenyimwa US entry.

Sitaki kuongea sana Mods wasije wakapata shida na mimi
 
Back
Top Bottom