Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Ahaaa. Jamaa yangu nani?Zei yuzid tu dai ini ze leiki ( PhD ya jamaa yako)
Yeye mwenyewe kafoji phd
Niachane na wewe kwani nimekuoa?Please mimi situmii hayo mambo unayotaka, achana mimi.
MaguAhaaa. Jamaa yangu nani?
Nchi hii haipo salama kila sekta,tena kwenye utawala huu,ndio balaa,Raisi,inasemekana PHD yake ni ya magumashi,ndio maana ben saa nane,alipotezwa,viongozi hawafati utawala wa Sheria,huku DC anachapa watu,kwingine Mkurugenzi anapigana na mwanafunzi,state sponsored robbery imeshamili,watu wananyangsnywa pesa zao benki,bila maelezo,DPP,akikuotea tu,unampa mpunga,Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.
Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.
Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?
Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?
Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.
Ni hayo tu wana JF.
Nakubaliana na wewe.Nchi hii haipo salama kila sekta,tena kwenye utawala huu,ndio balaa,Raisi,inasemekana PHD yake ni ya magumashi,ndio maana ben saa nane,alipotezwa,viongozi hawafati utawala wa Sheria,huku DC anachapa watu,kwingine Mkurugenzi anapigana na mwanafunzi,state sponsored robbery imeshamili,watu wananyangsnywa pesa zao benki,bila maelezo,DPP,akikuotea tu,unampa mpunga,
TRA wanakusanya mapato,Polisi wanakusanya mapato,DPP anakusanya mapato,
Kila sekta imejaa mijitu,ambayo,ipo pale kulipa visasi,kuiba,kuumiza,kukomoa,na wala si kuhudumia Wananchi,
Kila kona ya nchi,watu wanabambikiziwa kesi,DPP yupo bize na Mbowe,wapinzani,
Shit.Magu
πNiachane na wewe kwani nimekuoa?
Kimeingia matakon kwako siyo?π
Huna akili hata kidogo.Tulieni dawa iwaingie. Sasa hv ni ccm kuanzia mitaa mpaka Ikulu. Acheni kuleta mambo ya kiseng* fanyeni kazi tuingie uchumi wa kati wa juu kabla ya 2025
Kwa nini mkuu?Huna akili hata kidogo.
πNiachane na wewe kwani nimekuoa?
Kwani hujakisikia kuwa kimezama? Mpaka unauliza basi kingineπππKimeingia matakon kwako siyo?
Panua makalio ππππππKwa nini mkuu?
Zingine hizi ni sanaa,na sanaa ni kazi za watu hivyo yafaa tuwaachie wenyewe.Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.
Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.
Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?
Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?
Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.
Ni hayo tu wana JF.
Na kuraYeye mwenyewe kafoji phd
Ndiyo unavyoambiwaga?Panua makalio ππππππ
Kwa hiyo umezoe 3 ndiyo unaridhika?π
Kwani hujakisikia kuwa kimezama? Mpaka unauliza basi kingineπππ
Panua makalioπππKwa hiyo umezoe 3 ndiyo unaridhika?