Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

Mwenyekiti mwenyewe tatizo , Hawa wengine unafikiri itakuwaje ? Like father like son .
 
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.

Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.

Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?

Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?

Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.

Ni hayo tu wana JF.
Nchi hii haipo salama kila sekta,tena kwenye utawala huu,ndio balaa,Raisi,inasemekana PHD yake ni ya magumashi,ndio maana ben saa nane,alipotezwa,viongozi hawafati utawala wa Sheria,huku DC anachapa watu,kwingine Mkurugenzi anapigana na mwanafunzi,state sponsored robbery imeshamili,watu wananyangsnywa pesa zao benki,bila maelezo,DPP,akikuotea tu,unampa mpunga,
TRA wanakusanya mapato,Polisi wanakusanya mapato,DPP anakusanya mapato,
Kila sekta imejaa mijitu,ambayo,ipo pale kulipa visasi,kuiba,kuumiza,kukomoa,na wala si kuhudumia Wananchi,
Kila kona ya nchi,watu wanabambikiziwa kesi,DPP yupo bize na Mbowe,wapinzani,
 
Nakubaliana na wewe.
 
CCM kote kumejazana WAHALIFU tupu, ni suala la kuomba Mungu tu ili azidi kutupambania na hili JINAMIZI.
 
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.

Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.

Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?

Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?

Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.

Ni hayo tu wana JF.
Zingine hizi ni sanaa,na sanaa ni kazi za watu hivyo yafaa tuwaachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom