Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Ndiyo ulivyozoea?Panua makaliođź–•đź–•đź–•
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ulivyozoea?Panua makaliođź–•đź–•đź–•
Kwani yeye mkulu PhD yake imekaaje?!?! R.I.P Ben Saanane.Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.
Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.
Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?
Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?
Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.
Ni hayo tu wana JF.
Nilimaanisha siasa zetu zina watu wa hovyo kuliko hata waliokuwa na vyeti feki. Ukifuata morality au criminality wengi hata akina Mbowe hutawaweka kwenye kundi la wanasiasa. Utawafuta.Sijakuelewa.