Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Lakini pombe tamu si hizi chungu chungu ‘In Shekh Kipoozeo voice’ 😂😂😂Tutabaki singo
Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini pombe tamu si hizi chungu chungu ‘In Shekh Kipoozeo voice’ 😂😂😂Tutabaki singo
Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
hilo swali lako unauliza kufahamu au unataka wakina miujiza waanze kupolomosha matusi kututukana?dhamila yako anaijua muumba wakoAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
kama wewe ni muisilamu nenda kasome dini yako kama ni mkirisito hata ukiponda sio mbayaNyie jamaa mnaongoza kujihesabia haki
nenda kasome dini yako kwanza usijitie kusema usicho kijua kwenye dini dhambi iwapo kama wewe ni muisilamuKwaiyo unahisi peponi mtaingia? Mwanamke peponi Firidaus sio rahisi kwa tabia zenu za husda ,chuki,roho mbaya Uzinzi nk nadhani ili Jambo ni Pana.
Umeandika dini zimeletwa ili kuunganisha watuWapi nimeandika dini pekee zinaunganisha?
kama wewe ni muisilamu kasome dini yako uijue viema kama sio endeleza kejiliKwamba chuki, husda, roho mbaya tunazo sisi wanawake tu?
Kwa hiyo hatutawekana mkuu? Sasa raha tutapata gani manake wengine booking tushafanya mda sana.Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
bila shaka wewe unaishi utakavio unamka asubuhi unaludi muda utakao hao walio wanao kandamizwa unawazidi nn?Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari. Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Utapambana na hali yako, wakati wenzako watakuwa busy na mabikira 😂😂😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
MUNGU wa Ibrahim,Isaka na YakoboMungu yupi ana maelekezo yasiyo ya kitaahira?..hebu yaweke hapa tuyaone
As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Hao uliowa quote ni wapiga porojo kama wewe tu.Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Hahaha, sio "mbinguni" tu, sema kweli bana.Huo upande wa Qur'an , Sisi wengine tunaamini mbinguni hamna kuoa wala kuolewa , ni kuwa kama malaika
Si ule mchezo pendwa wa mapadri?😀😀😀😀tutakua single
Mtaiona hata hiyo pepo? Haioni pepo mshirikina.Tutabaki singo
Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
Duniani uwe single mother, na mbinguni pia?😀😀😀😀tutakua single
Umewahi kuisoma Qur'an?Ndio uamini iko ni kitabu cha mchongo
Kwahiyo Bi Faiza unataka kusemaje jamani 😂😂Mtaiona hata hiyo pepo? Haioni pepo mshirikina.
Hapana ntajitahidi kuwa hata mchepuko mbinguniDuniani uwe single mother, na mbinguni pia?