Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Tutabaki singo
Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
Lakini pombe tamu si hizi chungu chungu โ€˜In Shekh Kipoozeo voiceโ€™ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
hilo swali lako unauliza kufahamu au unataka wakina miujiza waanze kupolomosha matusi kututukana?dhamila yako anaijua muumba wako
 
Kwaiyo unahisi peponi mtaingia? Mwanamke peponi Firidaus sio rahisi kwa tabia zenu za husda ,chuki,roho mbaya Uzinzi nk nadhani ili Jambo ni Pana.
nenda kasome dini yako kwanza usijitie kusema usicho kijua kwenye dini dhambi iwapo kama wewe ni muisilamu
 
bila shaka wewe unaishi utakavio unamka asubuhi unaludi muda utakao hao walio wanao kandamizwa unawazidi nn?
 
Utapambana na hali yako, wakati wenzako watakuwa busy na mabikira ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 

Kwanza nikuulize, unaiamini Qur'an?
 
Hao uliowa quote ni wapiga porojo kama wewe tu.

Unaiamini Qur'an?
 
Huo upande wa Qur'an , Sisi wengine tunaamini mbinguni hamna kuoa wala kuolewa , ni kuwa kama malaika
Hahaha, sio "mbinguni" tu, sema kweli bana.

Nyie si mapadri, makasisi na ma sister hata duniani hamna kuoa wala kuolewa.

Mbona hilo hulisemi bana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ