EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 508
Nachojua miili ni vazi la roho tuwapo Duniani na ili uweze kwenda mbinguni basi ni lazima ulivue hilo vazi kusudi uweze kusafiri kwa speed kubwa sana zaidi ya ile ya mwanga ndio ufike huko, na ngono ni hitaji la mwili so nahisi haitawezekana maana miili tutakuwa tumeiacha duniani.Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
Daah....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Swali zuri sana, pengine majibu yatapatikana, yawezekana wanawake hamuendi peponi ndio maana hakuna mlichoambiwa
Quran 9:72.'' Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa.Kwa hali hii. Huko peponi itageuka kuwa danguro. Hakuna shughuli zingine za kufanya zaidi ya ngono?
Hii dini ni ya mchongo kabisa. Wanawake 72 wote wa nini? Hao wanawake 72 watakuwa makahaba yaliyokubuhu.
Huwa najiuliza kwanini hii dini ina mahakama, wanauana, hakuna kuhoji na ipo kwenye lugha moja tu? Imeficha mengi sana.
Niende peponi kwa kigezo cha kupewa mabikra 72? Hapana aisee. Ngono siyo kipaumbele kwenye maisha yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huo upande wa Qur'an , Sisi wengine tunaamini mbinguni hamna kuoa wala kuolewa , ni kuwa kama malaika
quranAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Kiukweli kama imeandikwa hivyo basi ni wewe tu kutafakariHicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.
Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
Njoo tuishi kwa misingi yake ilituweze kwenda peponi pamoja. ..nifahamuvyo mkioana mnakua kitu kimoja na ukiweza simamia vzr familia yako wote mnaenda peponi namnaenda ungana nakuendeleza maisha yenu kule (kiroho)...mume anaongezewa zaidi kwakua jukumu lake nikubwa sn hapa dunianiAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Mtume yeye ni mara mbili; anatafuna bikira 144.Kwahiyo huko aliko mtume anapata raha na wanawake 72 mabikira?
Ulinganisho sahihi ingekua wanawake watakatifu huko mbinguni wao watapewa nini kama wanaume wanapewa wanawake mabikra.As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Hapo ndio mtu ushtukie hivi vitabu eti ni vya mungu. Ukielimika vizuri utajua ni vitabu vya binadamu tu sio vya mungu.As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Unaonekana wewe unazingatia suala la ngono tuu.Ulinganisho sahihi ingekua wanawake watakatifu huko mbinguni wao watapewa nini kama wanaume wanapewa wanawake mabikra.