Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
Nachojua miili ni vazi la roho tuwapo Duniani na ili uweze kwenda mbinguni basi ni lazima ulivue hilo vazi kusudi uweze kusafiri kwa speed kubwa sana zaidi ya ile ya mwanga ndio ufike huko, na ngono ni hitaji la mwili so nahisi haitawezekana maana miili tutakuwa tumeiacha duniani.
 
Kwa hali hii. Huko peponi itageuka kuwa danguro. Hakuna shughuli zingine za kufanya zaidi ya ngono?
Hii dini ni ya mchongo kabisa. Wanawake 72 wote wa nini? Hao wanawake 72 watakuwa makahaba yaliyokubuhu.
Huwa najiuliza kwanini hii dini ina mahakama, wanauana, hakuna kuhoji na ipo kwenye lugha moja tu? Imeficha mengi sana.
Niende peponi kwa kigezo cha kupewa mabikra 72? Hapana aisee. Ngono siyo kipaumbele kwenye maisha yangu.
Quran 9:72.'' Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa.
Sas jiulize wewe ,hapa duniani unafanya lip kubwa ? kama si kutafuta hela ili
.Ustarehe,
.Ujenge nyumba
.Ule vizuri na kuvaa?
Hayo ndiyo khasa utakayopewa bure peponi
Na mengine tusiyo wahi kuyaskia katika Raha na Furaha
Kubwa zaidi Hatutoishi kwa mashariti ya Sheria ya baya na zuri, Hakuna Umauti wala kuzeeka..
\Hivi unaonaje Ahadi hii?
 
Kwani mwanamke mbinguni panamhusu!
Nijuavyo hata hao warembo wa mashehe ni malaika
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
quran
imewaahidi wanawke na wanaume kuingia peponi na kufaidi raha za Peponi.
Mahurl ain ni zawadi ya Nyongeza kwa wanaume wa peponi .
Hapakutajwa nyongeza yoyote kwa wanawake lakini yaliyobakia watashare humo.
Quran 7:72. ''Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa''
 
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.

Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
Kiukweli kama imeandikwa hivyo basi ni wewe tu kutafakari
Maana itakuwa ni ngono zaidi ya dunian na Kibaya zaidi imehalalshwa
Yaan mpaka uwaachakate wote...... Duh
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Njoo tuishi kwa misingi yake ilituweze kwenda peponi pamoja. ..nifahamuvyo mkioana mnakua kitu kimoja na ukiweza simamia vzr familia yako wote mnaenda peponi namnaenda ungana nakuendeleza maisha yenu kule (kiroho)...mume anaongezewa zaidi kwakua jukumu lake nikubwa sn hapa duniani
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Ulinganisho sahihi ingekua wanawake watakatifu huko mbinguni wao watapewa nini kama wanaume wanapewa wanawake mabikra.
 
Hapo ndio mtu ushtukie hivi vitabu eti ni vya mungu. Ukielimika vizuri utajua ni vitabu vya binadamu tu sio vya mungu.
 
Ulinganisho sahihi ingekua wanawake watakatifu huko mbinguni wao watapewa nini kama wanaume wanapewa wanawake mabikra.
Unaonekana wewe unazingatia suala la ngono tuu.
Kewani MtuMume akifanya ngono na Mtu mke si wote washafaidi?
Sasa unataka Mungu arejee nin tena?
Fsahamu ewe mwenye fahamu ndogo na Finyu.
 
Andiko hilo umetowa wapi ,au ni mawazo yako tuu yaliyokutuma kutoes hitimisho hilo?
Kumwita Mtume Muhammad Muhuni kunaweza kukugharimu Maisha yako au kupatwa na wazimu wa Kudumu au kupata Lana ya Mungu.
Chunga Ulimi wako kuropoka kwa Matamanio ya Kishetani.
Nakuhurumia sana Kijana.
Wametangulia Wajuwaji kuliko wewe na hatimae wameishia na kuMuacha Muhammad Akiendelea Kusifiwa na kupendwa Duniani.
Muhammad ni Mwanaume wa Shoka , Hakuwa shoga wala Mume lege lege. Na wafuasi wake ni vivyo hivyo.
Na Peponi mambo Babmbam.
Sisi Raha yetu ni Ngono na Kula tukiwa Peponi.
Nyinyi wenzetu mutakuwa wapi sijui, na mutakuwa muna Abuduu tuu na Kuimba sijui
 
Inaaminika kama na wew utakuwa wa peponi wew utakua bi mkubwa hao wengine watakuwa chini yako
 
Back
Top Bottom