Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Sasa ukute hyo mada inavyopendwa
Hz dini ukiwa critical hutazfuata
 
Kwenye Qur'an mwanaume anawakilisha humanity pale ambapo mwanamke hajatajwa,mwanamke mwema atapata yaleyale ambayo mwanaume mwema atapata, Kama ilivyo kwa mwanaume muovu na mwanamke muovu
So na mwanamke mwema atapata vijeba 72
 
Kwahyo duniani tuliletwa kuteseka
 
Na pepo ni state of mind
Hv inaingia akili kuwa peponi kutakuwa na kupelekeana moto?
 
Biblia Ina maelezo mengi yanayokinzana kuhusu maisha ya mbinguni,Mara iseme Kuna ziwa la moto waovu wataingia humo wakati wema watakua wakimuabudu mungu kwa nyimbo,Mara iseme waovu watayeyushwa...utaamua mwenyewe ushike lipi
Mfano nikisema wakiingia kwenye huo ziwa na moto watayeyuka nitakuwa nimekosea
Au hujui kuwa joto kubwa huyeyusha chuma
 
Kwa hiyo dini inayosema kuwa tunaenda mbinguni Kugida pombe ma kut*mber wanawake 72 ndio inaonekana inatoka kwa Mungu na ile inayosema kuwa Tunaenda Kumuabudu Mungu milele inatoka kwa shetani?
Hii kitu inatakiwa upate wabobezi wa qur,aan walifahamishe pia uwe na imani
 
Hii kitu inatakiwa upate wabobezi wa qur,aan walifahamishe pia uwe na imani
Jibu swali. [emoji116]

Dini inayosema kuwa tunaenda mbinguni Kugida pombe ma kut*mber wanawake 72 ndio inaonekana inatoka kwa Mungu na ile inayosema kuwa Tunaenda Kumuabudu Mungu milele inatoka kwa shetani?
 
Nyie mafeminist wa duniani mbingu mtaisikia tu kwenye waya. Wale walioandandaliwa sio feminist ni special kwa wanaume plus wachache wa hapa duniani ambao sio mafeminist watakaoungana na hao mabikra
 
Jibu swali. [emoji116]

Dini inayosema kuwa tunaenda mbinguni Kugida pombe ma kut*mber wanawake 72 ndio inaonekana inatoka kwa Mungu na ile inayosema kuwa Tunaenda Kumuabudu Mungu milele inatoka kwa shetani?
Qur-an iimeweka wazi kuhusu maisha baada ya Kifo. Siku ya kufufuliwa. wako wa peponi na wako wa Motoni
Hii ni Taarifa tuu ya Muumba aliyotupa ili tujiandae. Asiye amini na aendelee na Pumbao la Dunia mpaka Pumzi zitakapokata.
Na wanao amini waongeze bidii ya Kujichunga na Mabaya na kizidisha Mema. Maana Ahadi imetolewa na MUNGU Muumba wa Ulimwengu.
 
Ili Amfanye nini?
Usifanye Ujinga chakula kama chakula.
Zungumza yanayoleta maana (Non sence ni kuidunisha akili)
Hold on kwanza mimi nime quote alicho andika huyo.
Nini maana ya "mtu atapata atakacho!?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…