Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Hiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari.

Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Hata kwenye ukiristo mwanamke kapewa daraja la pili, sema kule wameonewa zaidi
 
Swali zuri sana, pengine majibu yatapatikana, yawezekana wanawake hamuendi peponi ndio maana hakuna mlichoambiwa
Jibu jepesi alie uliza kama ni muisilamu ahamie kwa mwamposa kama ni mkiristo habaki hukohuko tumejaa
 
Wewe unawazidi elimu wanawake wa kisaudia kimisiri kuweiti omani,tukubali wewe umesoma hiyo elimu yako imekusaidia wewe pamoja na jamii inayo kuzunguka?haya unawazidi mali wanawake wa kiarabu wewe unawazidi maisha,chuki mbaya sana jamani
Point yako hapa ni ipi? Kwanba Mwanamke yeye pepo yake inaishia duniani kwa kumiliki hela na magari?
 
Kuna hatari hii mbingu dhambi ikaanza upya na ikawa kama duniani.
Huko mbinguni ni kubaya sana kama kushawahi kutokea uasi mkubwa na vita ya kwanza kuubwaa ya mbingu ikatokea na na vifo vikatokea hadi baadhi wakafukuzwa unahisi kuna utakatifu uko?

Ni mwendo wa ngono tu tukiwa mbinguni tena kwa kuuza mechi. Itakuwa raha sana
 
Jibu jepesi alie uliza kama ni muisilamu ahamie kwa mwamposa kama ni mkiristo habaki hukohuko tumejaa
ukisema hivyo ina maani kila dini lina mbingu yake yenye mamlaka tofauti.

Na tusio na dini sijui tutawekwa wapi au na sisi tuna mbingu yetu
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Ahaahaaa
 
Nakwambia imani zingine ni za kitamaatamaa tu. Hizo kibra ina mana huko mbinguni watakuwa na miili? Na kwa nini wanaume tu ndio wanaotajwa kutunukiwa? Dini ya mfumo- dume!!
 
Ukitafakari kiundani kuhusu suala hilo, ni wazi kuwa wanawake wote mnaoamini maandiko hayo hamtaingia peponi. Na, mtabaki mahali pengine na wanaume watenda dhambi wa hapa duniani. Yaani...
 
NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI KUWA NA KAMWE SITAKI KUWA.

BORA KUWA KAFIRI KULIKO MUISLAMU.

NAMSHUKURU MUNGU WA KWELI KUNIJALIA MIMI SIYO MUISLAMU.
Mkuu hope wewe ni Mkristo.
Kama ni mkristo umewahi kuingia kwenye mawazo makuu ukajiuliza kuwa, vipi ingelitokea katika uteuzi asilia (natural selection) ukazaliwa katika familia ambayo ni pure Islamic?
Huoni kuwa unachukia kitu ambacho huenda pia ingetokea kuwa umezaliwa kwenye uislamu ni ungekuwa hapa unatetea bikra 72??

Hiki kitu unewahi kuwaza mkuu
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Bikra 70 dah ntafaidi sana maana nasikia mashine haitalala mpaka wote uwakojoze
 
Back
Top Bottom