Hata kwenye ukiristo mwanamke kapewa daraja la pili, sema kule wameonewa zaidiHiyo dini ni ya kumlinda mwanaume ni mfumo dume angalia tu kule uislam ulikoanzia wanawake wanavyotendewa, hawaruhusiwa kusoma, kuwa viongozi, kumiliki mali, hata kuendesha gari.
Uislam unamkandamiza mwanamke mpaka mwisho ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Jibu jepesi alie uliza kama ni muisilamu ahamie kwa mwamposa kama ni mkiristo habaki hukohuko tumejaaSwali zuri sana, pengine majibu yatapatikana, yawezekana wanawake hamuendi peponi ndio maana hakuna mlichoambiwa
Point yako hapa ni ipi? Kwanba Mwanamke yeye pepo yake inaishia duniani kwa kumiliki hela na magari?Wewe unawazidi elimu wanawake wa kisaudia kimisiri kuweiti omani,tukubali wewe umesoma hiyo elimu yako imekusaidia wewe pamoja na jamii inayo kuzunguka?haya unawazidi mali wanawake wa kiarabu wewe unawazidi maisha,chuki mbaya sana jamani
Hata mungu alimuumba mwanaumeKatika uislamu mwenye haki ni mwanamume tu, mwanamke anatambuliwa kwenye kuhudumia ndoa tu.
Kwani wewe mwanamke?Nyoosha maelezo! Mwanamke atapata nini huko peponi?
Huko mbinguni ni kubaya sana kama kushawahi kutokea uasi mkubwa na vita ya kwanza kuubwaa ya mbingu ikatokea na na vifo vikatokea hadi baadhi wakafukuzwa unahisi kuna utakatifu uko?Kuna hatari hii mbingu dhambi ikaanza upya na ikawa kama duniani.
ukisema hivyo ina maani kila dini lina mbingu yake yenye mamlaka tofauti.Jibu jepesi alie uliza kama ni muisilamu ahamie kwa mwamposa kama ni mkiristo habaki hukohuko tumejaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hii dunia hii inawatu wa hovyo sana.
Kwahyo mkuu uko unafanya swala 5 ili usikose malipo ya bikra 72??
Hayo mabawa wanayatumia kwa kazi gani? Samahani lakinimalaika wenzako wana mabawa wewe unayo?
AhaahaaaAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Nakwambia akili hizi jamani 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakwambia imani zingine ni za kitamaatamaa tu. Hizo kibra ina mana huko mbinguni watakuwa na miili? Na kwa nini wanaume tu ndio wanaotajwa kutunukiwa? Dini ya mfumo- dume!!As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Hilo swali linahusiana nini? Jibu ulichoulizwaKwani wewe mwanamke?
Mkuu hope wewe ni Mkristo.NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI NA SITAWAHI KUWA NA KAMWE SITAKI KUWA.
BORA KUWA KAFIRI KULIKO MUISLAMU.
NAMSHUKURU MUNGU WA KWELI KUNIJALIA MIMI SIYO MUISLAMU.
Bikra 70 dah ntafaidi sana maana nasikia mashine haitalala mpaka wote uwakojozeAs-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Wewe utakua wa 47 kwenye mgao wangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tutakua single