Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Nadhani mtatunukiwa njemba semanini za kuwanyoosha 24/7. Allah ni wa haki wewe
 
Dah ww jamaa bhana, 😂 nmecheka sana
 
Hiyo Mbingu ya Allah inaizidi kabisa Bar ya Kitambaa Cheupe.
Ni Ngono, Pombe na kucheza Rumba.
Eti kuna Mito ya Pombe na Bikra 72.

Kwani Mke mmoja hatoshi?
 
Reactions: K11
Eti watakua beki tatu duh!! Na huyo jamaa kwenye picha nae atapewa mabikira 72 wenye macho manene....
 
Ziweke hizo
Ziweke hizo ayat usemazo, usitulishe maneno yako ambayo ni uongo mtupu.
 
KAMA MBINGUNI KUSINGELIKUWA NA STAREHE ZA ZIADA , MAISHA YA DUNIANI YASINGELIKUWA NA MAANA YOYOTE
KWA KUJINYIMA KUVUMILIA MAUDHI YA MAJITU KAMA NETANYAU NA TRUMP.
TUNGELIKWISHA MALIZANA HAPA HAPA DUNIANI LAKINI MAMBO SIVYO YALIVYO. BILA YA HIVYO
Tungeliishi kama wanyama na kukamata mabinti a kuwabaka mabarabarani na au kuuwana, mwenye nguvu kumhujumu mnyonge nk.

Lakini kwa vile kuna Akhera, na malipo yake siku ya hukumu ni kemkem kwa waliotenda wema na kujizuia na matamnaio, Mimi Natamani Akhera nikapewe starehe zangu.

Ntamani Tukutane huko na Dada yangu Faiza Fox kwa raha zetu na Familia zetu.
Huko ni kusakanya Mbususu mbe kwa mbele ,Kula na kunywa bila kipimo,
Hakuna Kulala wala kuchoka, hakuna kuumwa wala kufa, ni RAHA tuuu
Hivi ndivyo Mungu ( ALLAH (sw) alivyohukumu iwe.
KARIBUNI
 
Nyie wanawake mtafufuliwa katika miili mipya so mtagawiwa kwa hawa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…