Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

inawabidi wote muwe wachamungu,waja sema,swala tano wote Kwa pamoja,mwanamke kuwa mtiifu Kwa mumeo,kutengeneza kizazi chema Kwa kuwajenga watoto wenu kuwa waja wema,kuwa na ikhalaswi kweny matendo yenu,kulia saan Kwa Kuomba msamaha Kwa mola wako everyday kuna hadithi/mafunzo ya mtume yanasema "kila mwanaadamu ni mkosaji" kwahiyo hatutakiwi kulala kabla ya kuomba msamaha Kwa mola wetu,hujui ni Saa ngap utaondok katika hii dunia na kwenda kusubiri siku ya hukumu Kwa ajili ya malipo ya matendo yako ulipokuw duniani.
Wewe pamoja na mme/mke kila mtu kwa upande wake inabidi apite Kwa mola wake mpate msamaha na huruma kutoka kwake na hapo Allah anawapa nafasi tena kukutana katika pepo yake, mwanamke utakuw mzuri zaidi ya wanawake wa peponi.
Na hakika ahadi ya mola wako ni ya kweli kabisa

(Enter Paradise, you and your spouses, rejoicing.” - Az-Zukhruf:70)

Surely ˹for˺ Muslim men and women, believing men and women, devout men and women, truthful men and women, patient men and women, humble men and women, charitable men and women, fasting men and women, men and women who guard their chastity, and men and women who remember Allah often—for ˹all of˺ them Allah has prepared forgiveness and a great reward. - Al-Ahzaab:35

so that Allah will punish hypocrite men and women and polytheistic men and women, and Allah will turn in mercy to believing men and women. For Allah is All-Forgiving, Most Merciful. - Al-Ahzaab:73
Yote yanawezekana tatizo tu bwana mkubwa ni Mkristo, sasa itakuwaje jamani?
 
Eeeeh jamani! Hakuna kwenye nafuu?
FB_IMG_1658044397270_1.jpg
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Nyie ndio mtabadilika kuwa malaika
 
Kwahiyo na wewe uko tayari mpenzi/mkeo akaanze upya na baba mwingine?
I mean akawe bikira kati ya hao 72 na kupewa mwingine?

Haya mambo sipendi? Kwanini akina baba tu ndio waanze upya na sio kila mmoja aanze upya?
Au ingependeza zaidi kila mmoja apewe nafasi ya kuanza upya au kuendelea na wa hukuhuku.
Maana kuna watu wamewachoka watu wao wa huku pia. Lol
Imani yetu inasema...huko tuendako hakuna kuoa au kuolewa watu tutaishi kama malaika.
Labda kwa dini yenu wanawake mtakuwa mabikra ndipo wagawiwe ma ostadh kwa upya😂😂😂
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
 
Tutabaki singo. Kazi ni kuosha vyombo hao wanaume watakao kuwa wanakunywia vileo (kuchota kwenye mto wa pombe)
Nyinyi ntakuwa mnalea watoto WA hao bikra sabini na mbili.....

Peponi Raha saana
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Mmeshaambiwa hakuna kitu kama hicho,hizo ni hadithi za kufikirika tu,hazipo 😀😀
Eti mabikira 😀,ina maana huko mbinguni ni kungonoka tu,hata kichaa huwezi mdanganya hii
 
Back
Top Bottom