Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nafikiria sana yani mahala patakatifu Mungu anapokaa pawe mahala pakuzagamua wanawake 70...HII DINI.
YANI UKIWA NA AKILI TIMAMU LAZIMA USHTUKIE UONGO ULIOMO NDANI YAKE.
ILA MAPUMBAFU NA MAJINGA BADO YANAENDELEA KUIAMINI.
HAKUNA MBINGU YA UZIZI.
SSHEENZII KABISA
Najaribu kuwaza hapa, sjui itakuweje sasa
... ILA kile kinachotueleza kuhusu Joka (Dragon) litakalozipukutisha theluthi TATU ya nyota na kuziangusha Duniani SIO CHA MCHONGO! 😅Ndio uamini iko ni kitabu cha mchongo
Weka aya inayosema hayo au ni fikra zako tuNyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain. Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao.
Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Kama tunavyokinzana imani kati yetu vivyo hivyo hata nikikupa aya haitakubadiri dini,.......Weka aya inayosema hayo au ni fikra zako tu
Hili swali watu wengi wanajiuliza ila jibu rasmi halipo.Kama tunavyokinzana imani kati yetu vivyo hivyo hata nikikupa aya haitakubadiri dini,.......
Itoshe kusema amini unachokiamini
Aliyeleta huo ushuhuda ni nani?Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa
Sikujua kumbe wewe ni Ke mkuu? Jina limekaa kiume umeKwamba chuki, husda, roho mbaya tunazo sisi wanawake tu?
Huko akhera kutakuwa na mabikra 72 ambao watatolewa na Allah?
Hujajibu swali kaka, WANAWAKE watapewa nini?Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.
Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”
Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-
Quran 37:48-49:
And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.
“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.
Shehe nae anafafanua hapa
Kwanza tuelewane, hakuna kitu kinachoitwa "mbinguni" kwa Waislam.As-salamu alaykum ndugu zangu.
Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.
Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.
Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.
Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?
Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.
Ahsante.
Siyo 73 tu, ulidanganywa ni kama wote vile. Upeo wako tu utavyofikiria.Huko akhera kutakuwa na mabikra 72 ambao watatolewa na Allah?
Used and abused. Ukitafsiri kwa tafsiri nyepesi ni kwamba wanawake hamuendi peponi na hamuioninpepo ndo mana hamjahaidiwa chochote.As-salamu alaykum ndugu zangu.