Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

HII DINI.

YANI UKIWA NA AKILI TIMAMU LAZIMA USHTUKIE UONGO ULIOMO NDANI YAKE.

ILA MAPUMBAFU NA MAJINGA BADO YANAENDELEA KUIAMINI.

HAKUNA MBINGU YA UZIZI.
SSHEENZII KABISA
Huwa nafikiria sana yani mahala patakatifu Mungu anapokaa pawe mahala pakuzagamua wanawake 70...
 
Nyie wanawake mnaenda fanywa kuwa huru'r`aain. Kati ya wale wanawake 70 tutakaopewa kila mwanamume,pengine na wewe/yeye mtakua katiyao.

Allah awafanyie wepesi inshaallah tabarak wataala.
Weka aya inayosema hayo au ni fikra zako tu
 
Kama tunavyokinzana imani kati yetu vivyo hivyo hata nikikupa aya haitakubadiri dini,.......
Itoshe kusema amini unachokiamini
Hili swali watu wengi wanajiuliza ila jibu rasmi halipo.
Kuna siku nilikuwa nasikiliza Radio ya kiislamu mtu akauliza hivo Kisha sheikh akajibu,
"Mambo mengine ni siri ya Mungu tusitake kujua ambayo Mungu hajayaweka wazi"

Sasa kusikia hivo nikajua hata huyu sheikh na yeye hajui kitu. We maelezo yako hayo umeyatoa wapi ambapo yeye hajaona?

Nipe aya hiyo au kama umeongea kwa hisia zako tu pia sema usijifiche kwenye kivuli cha kutofautiana Imani.
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.

Shehe nae anafafanua hapa

Hujajibu swali kaka, WANAWAKE watapewa nini?
Kuna ahadi gani kwa wanawake?
Je, hawa wanaoishi hapa duniani wakifa wataenda kupata wanaume wengine au wataende kuwa kina nani?
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Kwanza tuelewane, hakuna kitu kinachoitwa "mbinguni" kwa Waislam.

Kama unaongelea peponi, kila ayachoapata mwwanamme na mwanamke ni hicho hicho, huko hakuna vitamu tamu na vizuri ni upeno wako tu, iwe mwanamke iwe mwanamme.

Mbinguni huko mnaenda kondoo na wachunguji wenu tu, hakuna zaidi ya mapambio, kuomboleza na kubinjuana wenyewe kwa wenyewe tu.
 
Huko akhera kutakuwa na mabikra 72 ambao watatolewa na Allah?
Siyo 73 tu, ulidanganywa ni kama wote vile. Upeo wako tu utavyofikiria.

Wewe je mbinguni kuna nini huko zaidi ya mapambio ya kuombolea tu? Na ule mchezo pendwa wa vatikano. Si unaujuwa, kama huujuwi waulize tec.
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Used and abused. Ukitafsiri kwa tafsiri nyepesi ni kwamba wanawake hamuendi peponi na hamuioninpepo ndo mana hamjahaidiwa chochote.
 
Back
Top Bottom