FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kama unaweza panda juu nenda ukazibe.Ni Punguani pekee anayeweza kuamini hayo mafundisho potofu. Huko hakuna kuoa wala kuolewa sote tutakuwa kama malaika. Hapa duniani mmeambiwa muoe wanne tu na bado wanawatoa jasho huko 72 na mito ya ulevi juu si upuuzi mtupu. Wengi wafuasi wa hayo mapokeo ni maamuma yani hawajui lolote kuhusu kweli wala yaliyo andikwa humo. Kuna mmoja nilimsikia anasema "Yani huko Jannah nikienda kitakula hao mabikra mpaka waombe po, siwezi kujibana hapa duniani kwa tabu halafu huko nako nijivunge 😂😂😀😁" Nikamwambia, usipotubu na kubadilika ukafa huna Yesu yehova moyoni wewe ni motoni moja kwa Moja hakuna cha kauli thabiti, kuombewa wala cha mtakatifu fulani niombe. Ukifa matendo yako yanakutangulia mbele za haki. Kama una hamu na bikra, kula hapa duniani wajameni huko Jenna hamna vizo mambo
Wewe"mbinguni" unapewa nini zaidi ya kujazana kondoo na wachungaji wenu mkiimbiana mapambio ya kuomboleza?