Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Huyu Allah aliyetoa ahadi wa mabikira 72 sidhani kama ni Mwenyezi Mungu!
Mwenyezi Mungu hawezi kutoa ahadi ya aibi kama hi!
Shida yako nini,?
Kam wewe utaulizwa leo hii ungependa upewe zawadi gani kule Mbinguni ? ukiachana na zile za uzima wa Milele?
 
Tatizo tunafikiri tutakuwa na fikira hizihizi huko peponi. Pepo ni spiritual realm, tukifa tunaingiacp dimension nyingine.
Wewe Hujui kitu.
Yesu Huyu hapa asema
Math 8:11 Watu wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi na kula pamoja na Ibrahimu, Isaka, na Yakobo katika ufalme wa Mungu. 12 Na wale wasiopaswa kuwa katika ufalme watatupwa nje gizani. Na huko watalia na kusaga meno yao kwa sababu ya maumivu.”
 
Eating spiritually is not eating materially
...............................
Canality versus spirituality
 
Ujuha wa hii dini bana, halafu kumtafuna bikira huwa ni usumbufu tu, sema wanaume hufurahia tendo na bikira kwa sababu unajua wewe ndiye wa kwanza kwake, ila hamna raha pale.
 
Eating spiritually is not eating materially
...............................
Canality versus spirituality
Haha sasa unakubaliana na mimi,
Yawezekana hata sisi Waislamu tumefahamu kinyume ,lakini kula kutakuwepo, namna gani Mungu mwenyewe anajua,
Ni kweli kule Peponi tutakuwa na Maumbile tofauti na haya ya Duniani,
Kule hakuna Kujisaidia wala kwenda haja ndogo
 
Ujuha wa hii dini bana, halafu kumtafuna bikira huwa ni usumbufu tu, sema wanaume hufurahia tendo na bikira kwa sababu unajua wewe ndiye wa kwanza kwake, ila hamna raha pale.
Wewe unajua au Mungu aliye umba?
Kama wewe huoni raha na Bikira basi una shida ndugu.
Sisi wenzako kama tutapewa kazi za Kutowa Bikira kila siku basi tutamlipa na fedha mwenye Bikira wake jinsi tunavyozipenda.
Kutowa bikira inabidi uwe Dume la Shoka siyo Bwege bwege.
Pipe lazima Iwe Ngumu na yenye kusimama sawasawa 90 degree
 
bado tunaamishwa:
1. Kuna mto wa pombe tamu!
2, Ukiua wenzio unaenda ahera na unapokewa na mabikra swafi 4!
Halafu watu wanadanganywa hiki ni kitabu kilishushwa toka mbunguni [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo ndipo utagundua Quran imeandikwa na wanaume, si na Mungu.
Math. 26:29 Ninataka mjue kuwa, hii ni mara ya mwisho nitakunywa divai mpaka siku ile nitakapokunywa divai mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.”

Pep[oni kula kupo lakini sujui mnakwama wpi.
Mimi situmii Qur-an hapa
Hii Biblia
 
Biblia na Quran zote uongo ule ule.

Ndiyo maana hata huko peponi unakokusema huwezi kuthibitisha kupo.

Kama unabisha, thibitisha peponi kupo.
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
ah!!!..kumbe mbinguni kuna kupigana miti!!! da!!!!.........................
 
ingawa wanawake nao ni tatizo kubwa wakiachiwa wafanye wanavyotaka mfano angalia nchi za wazungu
Kivipi Kuna tatizo wakati kila kukicha mnaenda kuomba msaada kwao. Sisi tumetawaliwa na wanaume tokea uhuru ila hata matundu ya choo ni shida. Mambo ya maendeleo au maadili hayana connection na jinsia
 
Your desires are desires of the flesh which is dying. The real you, which is the spirit inside you, has no lust or desire. So anyone who tells you that you will be having sex with virgins in paradise is lying to you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha uwepo wako wewe kwanza,
Na miaka 50 iliyopita ulikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom