Ushauri mzuri,Raha ya kunua gari YARD anakupa warrant mda furani, pia unaweza kumshusha bei ya kununua, nenda Yard za maana sio za wabongo wenye njaa utauziwa box au body na no...
Kununua yard hakuwezi kuwa nafuu kuliko kuagiza kwani hata wenye yard huagiza hukohuko, kikubwa ni kuwa na uelewa wa jinsi ya kuagiza, tafuta kampuni ya uhakika tena ukipata yenye uwezo wa kukuonyesha auction sheet hii ndio bora zaidi, kwani hizi gari used zinavyouzwa kwenye minada zipo katika grade tofauti mfano kuna grade 4.5 hii ni kama mpya kabisa ikifatiwa na grade 3.5 hii ina mapungufu kidogo, grade 3 na grade R, R ikimaanisha repair kwamba ilipata ajali then ikafanyiwa repair hivyo wengi wakati wa kuagiza wengi huangalia picha tu bila kuangalia grade ya gariRaha ya kunua gari YARD anakupa warrant mda furani, pia unaweza kumshusha bei ya kununua, nenda Yard za maana sio za wabongo wenye njaa utauziwa box au body na no...
UmekaririBeforward
Yard za bongo hujazijua vizuri mkuu... Kwa mileage zake huwa wanazishusha na pia uwe na mtaalam au utaalam wa kukagua garu haswaaaaRaha ya kunua gari YARD anakupa warrant mda furani, pia unaweza kumshusha bei ya kununua, nenda Yard za maana sio za wabongo wenye njaa utauziwa box au body na no..
Autocom nimefanya nao kazi sana, uzuri wao ni bei zao... Ziko very affordable hata gari nayotumia sasa nimeagiza kwao na nikikuambia bei yake huwezi aminiBinafsi nimekua nikiagiza tokea mwaka 2014, takriban miaka 6 sasa ya uzoefu.
Kuna kampuni tau ninazoweza kuzi recommend...
Kampuni zipo nyingi sana na hakuna mbaya wala ilimradi ipo kwenye shilikisho la wauza magari huku Japan(JADA) ingawa nilichokiona watanzania wengi wamebobea kununua magari kwa haya makampuni ambayo yenyewe huenda minadani kununua magari na kuuza tena kama aliolist mchangiaji.Binafsi nimekua nikiagiza tokea mwaka 2014, takriban miaka 6 sasa ya uzoefu.
Kuna kampuni tau ninazoweza kuzi recommend..
Hizo kampuni zimesajiliwa wapi kaka?Kampuni zipo nyingi sana na hakuna mbaya wala ilimradi ipo kwenye shilikisho la wauza magari huku Japan(JADA) ingawa nilichokiona watanzania wengi wamebobea kununua magari kwa haya makampuni ambayo yenyewe huenda minadani kununua magari na kuuza tena kama aliolist mchangiaji...
Taja hizo Kampuni wazee wa mtelezo tushukeKampuni zipo nyingi sana na hakuna mbaya wala ilimradi ipo kwenye shilikisho la wauza magari huku Japan(JADA) ingawa nilichokiona watanzania wengi wamebobea kununua magari kwa haya makampuni ambayo yenyewe huenda minadani kununua magari na kuuza tena kama aliolist mchangiaji...
Ile nyuzi naikumbuka aisee, polisi na mwenye yard walikuwa wanatapeli wateja kwa kubambikia kesi umenunua gari ya wizi.Kununua yard za kibongo ni kubahatisha zaidi unless uwe mzoefu na si gari yako ya kwanza au uende na battalion ya mafundi waaminifu...
Mjadala uendelee tu huko mbeleni tutajua nani amekariri mkuuUmekariri
JF huwa inatoa elimu kubwa sana!Kununua yard hakuwezi kuwa nafuu kuliko kuagiza kwani hata wenye yard huagiza hukohuko, kikubwa ni kuwa na uelewa wa jinsi ya kuagiza, tafuta kampuni ya uhakika tena ukipata yenye uwezo wa kukuonyesha auction sheet hii ndio bora zaidi...