Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Acha ushamba. Kule juu mtu kaomba kila mtu atoe uzoefu wake. Jamaa katoa wake. Ulimbukeni wako unataka kujionesha wewe unajua zaidi. Sasa si ungetaja ambazo umewahi zisikia kwa watu? Huu ushamba wewe utakuwa mzaramo maana hata wasukuma hawapo hivi.Umekariri