Je, kampuni gani nzuri ya kuagiza magari nje ya nchi?

Je, kampuni gani nzuri ya kuagiza magari nje ya nchi?

Kampuni zipo nyingi sana na hakuna mbaya wala ilimradi ipo kwenye shilikisho la wauza magari huku Japan(JADA) ingawa nilichokiona watanzania wengi wamebobea kununua magari kwa haya makampuni ambayo yenyewe huenda minadani kununua magari na kuuza tena kama aliolist mchangiaji...
Hizo kampuni zimesajiliwa wapi kaka?

Na taratibu zao ni zipi.
Hizo kampuni zimesajiliwa wapi kaka?

Na taratibu zao ni zipi.?!
analgesic kaka vipi, mbona hujarudi kutupa majibu ya maswali yetu.?!
 
Umekariri
Duuu ina maana be forward Leo wamekuwa wababaishaji? Twende mbele turudi nyuma bado be forward ni namba moja Tanzania.

SBT Japan na be forward wanaaminika Sana Malawi, Zimbabwe, Congo, Zambia na Burundi pia hizi nchi zote wanatumia bandari ya DAR.

Meli za Magari pale bandarini asilimia kubwa ni Magari hizo kampuni mbili
 
Be forward na sbtjan waweza chagua gari uitakayo Wana gari nyingi tofauti na hizo nyingne Kama enhance au trust Japan.
 
Duuu ina maana be forward Leo wamekuwa wababaishaji? Twende mbele turudi nyuma bado be forward ni namba moja Tanzania...
Miaka yote hua naagizia kupitia be forward sababu price zao ni nafuu sana na gari inakua fresh tu,though hua niko makini kubadilisha fluids zote mara ninapokabidhiwa gari hio.

Sasa kuna gari nilikua naziangalia,ni gari 1(same VIN) unaikuta inauzwa be forward na SBT.,ila cha ajabu Be forward unakuta gari hio iko juu kwa almost $500 wkt nimezoea Be forward ndio hua inakua cheap most of the time.

Kibao kimegeuka naona.
 
Sijamaanisha kwamba wabaya, siku hizi makampuni yamekuwa mengi na mengi ya gari kali... Be foward na sbt ni vile tu wanaaminikanika sometimes na wao wanazingua
Wabongo wengi hatujui jinsi ya kufanya biashara mtandaoni ndiyo maana tunakimbilia Kwa kampuni hizo mbili kwasabb Wana agents wao hapa Tanzania pia inakuwa rahisi kuwasumbua tofauti
Miaka yote hua naagizia kupitia be forward sababu price zao ni nafuu sana na gari inakua fresh tu,though hua niko makini kubadilisha fluids zote mara ninapokabidhiwa gari hio.

Sasa kuna gari nilikua naziangalia,ni gari 1(same VIN) unaikuta inauzwa be forward na SBT.,ila cha ajabu Be forward unakuta gari hio iko juu kwa almost $500 wkt nimezoea Be forward ndio hua inakua cheap most of the time.

Kibao kimegeuka naona.
Sikuhizi naona SBT Japan ndiyo ina price za chini tofauti na be forward nakumbuka August naagiza gari nilichemka ikabidi nirudi SBT..
Pia shida nyingine Kwa SBT ni Magari Yao mengi kuwa milage kubwa
 
Enhance/trust japan/Autocom wana vigari vichache kama bao la kuku vile.

Sihangaikagi nao kabisa hao.
Kuna hawa jamaa cardealpage.com wako vizuri Ila shida ni hiyo ya uchache wa Magari na bei kubwa
 
Wabongo wengi hatujui jinsi ya kufanya biashara mtandaoni ndiyo maana tunakimbilia Kwa kampuni hizo mbili kwasabb Wana agents wao hapa Tanzania pia inakuwa rahisi kuwasumbua tofauti

Sikuhizi naona SBT Japan ndiyo ina price za chini tofauti na be forward nakumbuka August naagiza gari nilichemka ikabidi nirudi SBT..
Pia shida nyingine Kwa SBT ni Magari Yao mengi kuwa milage kubwa
Chungulia autocom
 
Kampuni zipo nyingi sana na hakuna mbaya wala ilimradi ipo kwenye shilikisho la wauza magari huku Japan(JADA)
Kaka, tunaomba link ya hilo shirikisho, tuweze kupitia na kuisoma nasi pia tujiridhishe.
ingawa nilichokiona watanzania wengi wamebobea kununua magari kwa haya makampuni ambayo yenyewe huenda minadani kununua magari na kuuza
Sheria na taratibu za japan, haswa kwenye upande wa magari iko vipi.?
tena kama aliolist mchangiaji, ila pia kuna makampuni mengi tu ambayo yenyewe yamesalijiwa na hufanya kazi ya kwenda kuwanunulia watu magari minadani
Process zao ni zipi, ikiwa na maana kwamba, watakuruhusu kuanza proxy bidding (kuwapa bid price yako wakufanyie bidding) bila kuwapa security deposit.? (Ambayo mara nyingi ni kati ya $500 -1,000. Narudia Tena, naomba list ya hizo kampuni sote hapa tukazitazame, ambazo kama unavyodai zimesajiliwa kwaajili ya kwenda kuwanunulia watu magari minadani na kuwatumia.

na kuwatumia huzuri wa mfumo ni kuwa unaweza kufanya kama masihara na ukapata gari kwa bei nafuu sana, unakuta gari mnadani inaanza na zero price hivyo ukiwa na bahati unaweza weka any bid kama hakutakuwa na mshindani ukawini
Huo mfumo, ni bure? Umesahau kwamba kuna charges huwa wanazi-charge za hiyo huduma tu peke yake, achilia mbali malimbikizo mengine ya kulitoa gari location lililopo hadi kuifikisha port yard (inland transportation) Mbona hujaorodhesha hayo mzee.?

Nitashukuru kwa majibu yako kaka, tuweze kujifunza sote na kwa faida ya wengine pia.

Ahsante.
 
HUDUMA ZETU ZITASAIDIA KATKA HILI NA USHAURI NI BURE

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM
@teamsolutionconsultation

PIA TUNA HUDUMA ZA USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKUTOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
@Klin&Brite
 
Miaka yote hua naagizia kupitia be forward sababu price zao ni nafuu sana na gari inakua fresh tu,though hua niko makini kubadilisha fluids zote mara ninapokabidhiwa gari hio.

Sasa kuna gari nilikua naziangalia,ni gari 1(same VIN) unaikuta inauzwa be forward na SBT.,ila cha ajabu Be forward unakuta gari hio iko juu kwa almost $500 wkt nimezoea Be forward ndio hua inakua cheap most of the time.

Kibao kimegeuka naona.
Mkuu unapoagiza, unafanya comparison ya kiasi ungetumia kama ulininua kwenye yard za Tanzania?
 
Autocom au Beforward ni fresh. Magari yao wanachagua stock nzuri, bei wananegotiate vizuri na wanatoa guidance nzuri hadi gari inapokufikia.
 
Mimi ukiniambia Befoward na Autocom nachagua Autocom hii kampuni chuma zao zimenyooka sana chief inspection report zao hazina kona kama kina mwafulani

Hata mimi ningechagua autocom
 
Back
Top Bottom