Je, kampuni gani nzuri ya kuagiza magari nje ya nchi?

Umekariri
Acha ushamba. Kule juu mtu kaomba kila mtu atoe uzoefu wake. Jamaa katoa wake. Ulimbukeni wako unataka kujionesha wewe unajua zaidi. Sasa si ungetaja ambazo umewahi zisikia kwa watu? Huu ushamba wewe utakuwa mzaramo maana hata wasukuma hawapo hivi.
 
Mimi ukiniambia Befoward na Autocom nachagua Autocom hii kampuni chuma zao zimenyooka sana chief inspection report zao hazina kona kama kina mwafulani
Ni kweli kabisa, umesema sawa sawia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…