F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Hivi hii kampuni ya KASH KOPA inakuaje unapata usajili kabisa wa namba ya lipa kwa simu alafu wanafanya uhuni.
Yaani kampuni imesajiliwa na Ina namba ya simu ya lipa kwa simu halafu unafanya utapeli wa elfu mbilimbili unalipa halafu wanaadanganya wananchi kuwa wanatoa mikopo lakini Kila ukilipa na ukaomba mkopo ukaambiwa maombi Ni mengi hivyo ombi lako linaweza kuchelewa kufanyiwa kazi na ndiyo inakua imetoka hiyo kwa hiyo kwa siku akitapeli watu 10 ana laki 2 akitapeli watu 100 ana milioni 2.