Je Kampuni ya Kash Poa ni matapeli?

Je Kampuni ya Kash Poa ni matapeli?

F35-Bomber

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
1,345
Reaction score
1,069
Hivi hii kampuni ya KASH KOPA inakuaje unapata usajili kabisa wa namba ya lipa kwa simu alafu wanafanya uhuni.

Yaani kampuni imesajiliwa na Ina namba ya simu ya lipa kwa simu halafu unafanya utapeli wa elfu mbilimbili unalipa halafu wanaadanganya wananchi kuwa wanatoa mikopo lakini Kila ukilipa na ukaomba mkopo ukaambiwa maombi Ni mengi hivyo ombi lako linaweza kuchelewa kufanyiwa kazi na ndiyo inakua imetoka hiyo kwa hiyo kwa siku akitapeli watu 10 ana laki 2 akitapeli watu 100 ana milioni 2.

Screenshot_20211214-183108.png
 
Hesabu gani, akitapeli watu 10 ana 20000 siyo laki 2 na watu 100 ndo lak 2.
Za kuambiwa changanya na za kwako.
Hivi hii kampuni ya KASH KOPA inakuaje unapata usajili kabisa wa namba ya lipa kwa simu alafu wanafanya uhuni.

Yaani kampuni imesajiliwa na Ina namba ya simu ya lipa kwa simu alafu unafanya utspele wa elfu mbimbili unalipa alafu wanaadanganya wananchi kuwa wanatoa mikopo lakini Kila ukilipa na ukaomba mkopo ukaambiwa maombi Ni mengi hivyo Ombi laki linaweza kuchelewa kufanyiwa kazi na ndiyo inakua imetoka hiyo kwa hiyo kwa siku akitapeli watu 10 ana laki 2 akitapeli watu 100 ana milioni 2.View attachment 2049667
 
Ngojea ( Subiri ) Kwanza nasi 'tutapeliwe' nao sana kisha 'Wakishatumalizia' Pesa zetu zote tutakuja Kukupa Majibu sawa?
 
Hivi naomba kujua nahawa kopa fasta nimatapeli?
Sababu nilimelipia ada 49500
Nikaambiwa nilipie yamdhamana 50,000 nikalipia lakini unaambiwa dakika 30 Sasa hivi yamepita masaa 3 sioni kitu aisee
 
Mbona mimi nimetuma maombi sijapata majibu nyinyi ni mataperi
Atamm nimetuma Ila sijaona chochote nanimelipia hio 4000
Lakini nimejaribu kuiomba nirudishe voda wamesema wameizuia ebu nisubili nione
Lakini kunakampuni jingine la kopafasta Hilo nimepigwa 100000 Sasa hivi punde
 
Hivi naomba kujua nahawa kopa fasta nimatapeli?
Sababu nilimelipia ada 49500
Nikaambiwa nilipie yamdhamana 50,000 nikalipia lakini unaambiwa dakika 30 Sasa hivi yamepita masaa 3 sioni kitu aisee

[emoji23] wajinga mtaisha lini hii dunia jamani kweli kabisa unatuma pesa online kitahisi tu hivyo?
 
Back
Top Bottom