F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
Hivi hii kampuni ya KASH KOPA inakuaje unapata usajili kabisa wa namba ya lipa kwa simu alafu wanafanya uhuni.
Yaani kampuni imesajiliwa na Ina namba ya simu ya lipa kwa simu alafu unafanya utspele wa elfu mbimbili unalipa alafu wanaadanganya wananchi kuwa wanatoa mikopo lakini Kila ukilipa na ukaomba mkopo ukaambiwa maombi Ni mengi hivyo Ombi laki linaweza kuchelewa kufanyiwa kazi na ndiyo inakua imetoka hiyo kwa hiyo kwa siku akitapeli watu 10 ana laki 2 akitapeli watu 100 ana milioni 2.View attachment 2049667
Naona mkurugenzi wao umekuja kupiga maboya ili walugaluga waendelee kuamini.
Ngojea ( Subiri ) Kwanza nasi 'tutapeliwe' nao sana kisha 'Wakishatumalizia' Pesa zetu zote tutakuja Kukupa Majibu sawa?Hivi hii kampuni ya KASH KOPA inakuaje unapata usajili kabisa wa namba ya lipa kwa simu alafu wanafanya uhuni.
Yaani kampuni imesajiliwa na Ina namba ya simu ya lipa kwa simu alafu unafanya utspele wa elfu mbimbili unalipa alafu wanaadanganya wananchi kuwa wanatoa mikopo lakini Kila ukilipa na ukaomba mkopo ukaambiwa maombi Ni mengi hivyo Ombi laki linaweza kuchelewa kufanyiwa kazi na ndiyo inakua imetoka hiyo kwa hiyo kwa siku akitapeli watu 10 ana laki 2 akitapeli watu 100 ana milioni 2.View attachment 2049667
Atamm nimetuma Ila sijaona chochote nanimelipia hio 4000Mbona mimi nimetuma maombi sijapata majibu nyinyi ni mataperi
Hivi naomba kujua nahawa kopa fasta nimatapeli?
Sababu nilimelipia ada 49500
Nikaambiwa nilipie yamdhamana 50,000 nikalipia lakini unaambiwa dakika 30 Sasa hivi yamepita masaa 3 sioni kitu aisee