Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?
Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo
Swali langu: Je ni haki yao kufanya ivyo au ni kinyume?
-
Screenshot_20221230-143157.jpg
56.2 KB
· Views: 10
-
Screenshot_20221230-142848.jpg
55.9 KB
· Views: 9