Je, kanisa linahitaji uwepo wa praise and worship team?

Je, kanisa linahitaji uwepo wa praise and worship team?

tatizo mnaingiza mambo ya kigeni ambayo huko nyuma ilikuwa ni dhambi
Mambo ya kigeni ni yapi na yazamani ni yapi, mlokole ukimwambia kunywa mlonge anakuambia ni ulozi anataka dawa za kisasa huyo huyo badae ukiimba nyimbo za kina kirk Franklin anakuambia unafokafoka kanisani 😃😃, walokole tafuteni kichaka kingine
 
Wakatoliki hatuhitaji huo upuuzi. Huku kwetu sisi ni Nota tu na kuheshimu Liturujia ya Kanisa.
 
Bishop katunzi kuna siku aliwahi huwateremsha pale madhabauni 😀😀😀, baadhi ya vikundi vya praise vimegeuka madanguro
Hahaha pale kwaya ya vijana CGM miyeyusho bora wale
Watu wazima
WRM ya kina Timo ndio wapo serious
Sema Katunzi yupo serious hua hapendi udwanzi!
😁😁
 
Kweli mkuu hata mimi sikupingi Vijana tunachangamoto ya Uzinzi lakini sasa tufanyaje? Binafsi mimi nipo Kawaida nanyoa Afro navaa suruali ya kitambaa nina Mchumba mmoja...najua wananikosoa na kudhani mimi pia ni muhuni lakini si hivyo...kwa hiyo tuseme sio vijana wote ni wahuni. Japo wengi ni wahuni.
wengi ni wahuni wameharibu hata ndoa zao kwa uzinzi na kuishia kutengwa kisha kukimbilia kwa makanisa ya wasela wenzao wanaosema njoo ulivyo tutakupokea ukifukuzwa huko ulikokuwa
 
Hapa naona ni mada ya kilokole huko kwa kina MWA... +Manabii na mitum haya mambo kwenye kanisa moja, katoliki na la mitume sijawahi yaona wala kuyasikia.
Kwanza ujue MTU yeyote anayemwamini Mungu tayari ni mlokole.Hawa Assemblies na wengine ni walokole wanaojitangia haki wakati wengine ni walokole ndani ya mioyo yao.Kuhusu praise na worship ningetamani tuwaige wasabato muonekano wao wakimba unamtukuza Mungu.
 
Katunzi ni zao la moses kulola, hawezi kuwa mtu wa kawaida
Moses alikua na mikwara ya kumtisha shetani jamaa alipiga injili ya Yona yaani kuokoka ni lazima hatubembelezi watu
Yaani tunakuletea habari ya wokovu uokoke wewe unaleta udwanzi aaah
Either umkiri Bwana Yesu au uende Jehanum hakuna kulemba
Yaani askari anakuja kukuokoa katikati ya Boko haram unauliza kama ni askari kweli au mgambo una akili wewe?
😁😁
 
Back
Top Bottom