Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Mambo ya kigeni ni yapi na yazamani ni yapi, mlokole ukimwambia kunywa mlonge anakuambia ni ulozi anataka dawa za kisasa huyo huyo badae ukiimba nyimbo za kina kirk Franklin anakuambia unafokafoka kanisani ππ, walokole tafuteni kichaka kinginetatizo mnaingiza mambo ya kigeni ambayo huko nyuma ilikuwa ni dhambi
Bado kidogo tuu mtahamishwa tuu kwenye reli, wasabato wale wakwanza wakowapi leo..?Wakatoliki hatuhitaji huo upuuzi.
Hahaha pale kwaya ya vijana CGM miyeyusho bora waleBishop katunzi kuna siku aliwahi huwateremsha pale madhabauni πππ, baadhi ya vikundi vya praise vimegeuka madanguro
Wasabato ni watoto wa juzi tu. Huwezi kuwalinganisha na Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.Bado kidogo tuu mtahamishwa tuu kwenye reli, wasabato wale wakwanza wakowapi leo..?
wengi ni wahuni wameharibu hata ndoa zao kwa uzinzi na kuishia kutengwa kisha kukimbilia kwa makanisa ya wasela wenzao wanaosema njoo ulivyo tutakupokea ukifukuzwa huko ulikokuwaKweli mkuu hata mimi sikupingi Vijana tunachangamoto ya Uzinzi lakini sasa tufanyaje? Binafsi mimi nipo Kawaida nanyoa Afro navaa suruali ya kitambaa nina Mchumba mmoja...najua wananikosoa na kudhani mimi pia ni muhuni lakini si hivyo...kwa hiyo tuseme sio vijana wote ni wahuni. Japo wengi ni wahuni.
Katunzi ni zao la moses kulola, hawezi kuwa mtu wa kawaidaHahaha pale kwaya ya vijana CGM miyeyusho bora wale
Watu wazima
WRM ya kina Timo ndio wapo serious
Sema Katunzi yupo serious hua hapendi udwanzi!
ππ
Mambo ya kigeni ni yapi na yazamani ni yapi, mlokole ukimwambia kunywa mlonge anakuambia ni ulozi anataka dawa za kisasa huyo huyo badae ukiimba nyimbo za kina kirk Franklin anakuambia unafokafoka kanisani
nyie ndio mpepotea kabisa na hiyo liturujia yenuWakatoliki hatuhitaji huo upuuzi. Huku kwetu sisi ni Nota tu na kuheshimu Liturujia ya Kanisa.
walijifanya ni wajuzi wa mambo ya kiroho lakini hivi sasa wako nje ya reli wanapuyanga njia kuelekea upotevuniBado kidogo tuu mtahamishwa tuu kwenye reli, wasabato wale wakwanza wakowapi leo..?
Hahaha pale kwaya ya vijana CGM miyeyusho bora wale
Watu wazima
WRM ya kina Timo ndio wapo serious
Sema Katunzi yupo serious hua hapendi udwanzi!
Wewe wasema bila shaka.walijifanya ni wajuzi wa mambo ya kiroho lakini hivi sasa wako nje ya reli wanapuyanga njia kuelekea upotevuni
katoliki ilishakufa kiroho siku nyingi tangu zama za LutherWasabato ni watoto wa juzi tu. Huwezi kuwalinganisha na Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume.
hata hiyo katoliki yako imebaki debe tupu tu hakuna utakatifu hapoWewe wasema bila shaka.
Tangu zama Luther, ila mpaka leo bado inadunda tu! Huku wajukuu wa Bi. Ellen G White mkiishi kwa shida na taabu nyingi kweli kweli!katoliki ilishakufa kiroho siku nyingi tangu zama za Luther
nani umeona ni msabato?Tangu zama Luther, ila mpaka leo bado inadunda tu! Huku wajukuu wa Bi. Ellen G White mkiishi kwa shida na taabu nyingi kweli kweli!
Kwanza ujue MTU yeyote anayemwamini Mungu tayari ni mlokole.Hawa Assemblies na wengine ni walokole wanaojitangia haki wakati wengine ni walokole ndani ya mioyo yao.Kuhusu praise na worship ningetamani tuwaige wasabato muonekano wao wakimba unamtukuza Mungu.Hapa naona ni mada ya kilokole huko kwa kina MWA... +Manabii na mitum haya mambo kwenye kanisa moja, katoliki na la mitume sijawahi yaona wala kuyasikia.
Moses alikua na mikwara ya kumtisha shetani jamaa alipiga injili ya Yona yaani kuokoka ni lazima hatubembelezi watuKatunzi ni zao la moses kulola, hawezi kuwa mtu wa kawaida